JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Kama ni kweli mbona Nyerere alikubalika kwao?
Acheni kuhalalisha kukataliwa kwa mashetani.
Kukataliwa ni majibu sahihi kwa roho zao za kifedhuli!
JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Lakini kama ni kujikomba, hakuna mfanowe. Nakumbuka alikuwa akileta visredi uchwara kumsifia tototunduUsione kujibaraguza humu, naye ni mmoja kati ya hao 19. We know her more than she knows herself.
Chadema kuna viongozi ?au wapiga dili? Ahaa ona walivyowauza covid19😅😅Sure CCM haina viongozi kabisa. Huwa na waambia watu ukitaka kujulikana na kuja kuwa kiongozi na kula maisha serikali ya Tanzania baasi jiunge kwanza na upinzani ili uwezo wako ujulikani.Vijana wa UVCCM ni nyumbu tu.
Anayefuata ni JOSHUA NASARI na LUJUALIKALI
Wewe kumbe ni ccm mshika jezi ! hizi ni nyuzi fikirishi tunazileta humu baada ya malalamiko kutoka ndani ya lumumba kwenyewe , watu wanakesha kununua shahada na kuhujumu uchaguzi lakini wanaoteuliwa ni wale ambao hawajafanya lolote , we unaona ni kawaida hiyo ?Mawazo kama haya yanaonyesha kamanda umeishiwa hoja, ila inabidi uanzishe post kama hizi ili kuremain relevant. Too bad!
Basi chadema ni hatari sana , kama imeweza kuchomeka mamluki wake kutoka kyela ndani ya COVID 19 wa Ndugai .Usione kujibaraguza humu, naye ni mmoja kati ya hao 19. We know her more than she knows herself.
Ng'ombe aliyekatwa mkia anapewa nafasi wakati kuna mataga wanataabika Lumumba kukipambania chamaAlikua ccm wakat magu anaingia madarakan 2015 akafanyiwa figisu na kina nape ndo akahamia cuf akapewa kiti cha upendeleo na maalim mwenyewe..sasa tena amepewa kiti cha upendeleo na magu...mama ana bahat zake huyu japo ni mtu wa dini sana analisha yatima sana anajenga sana misikiti lakn pia anaijua fitna vizur sana
Musiba nae Vipi Mwanaharakati Huru au yeye atachukua nafasi ya Mwenezi?View attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?
Mwenye majibu atusaidie.
Wamwela Mkoa wa Lindi,hao kina Membe,PM wote ni wa MwelaKabila hili lipo wapi?
Afisa mrabaView attachment 1637439
Wengi tunajadili sana uteuzi wa Polepole kuwa mbunge, ambaye anafahamika zaidi kutokana na nafasi yake ndani ya CCM , lakini kuna mwingine aliyeteuliwa kuwa mbunge sambamba na Polepole , anaitwa Riziki Lulinda .
Taarifa zinaonesha kwamba Mama huyu aliwahi kuwa mbunge wa CUF kabla ya kuhamia CCM, sasa swali langu ni hili, huyu mama ni nani hasa mpaka ateuliwe yeye huku wafia chama waliopiga push up majukwaani sambamba na Mwenyekiti wao watelekezwe ?
Ana umuhimu gani huyu mtu kiasi cha kuchukua nafasi katika hizo chache zisizozidi 10?
Mwenye majibu atusaidie.
Aaache na Umbea mkuuWacha uchonganishi mkuu!
Duu watu mna mambo umbeaumbea tuuuuuuuNi chakula ya mkuu on the other side mambo ya kupikiwa wali wa nazi yakamchanganya mama wa kiswahili huyo mama wa mkuu huko geita kuna nazi?atawezana wapi?[emoji1787]
Cha kuongezea,huyu mama alikuwepo kwenye ile list ya wabunge wa viti maalim waliotimuliwa na Lipumba kipindi kile.Kama alikuwa CUF then akahamia CCM na sasa kapewa Ubunge jimbo la Ikulu, huyu bila shaka ni Afisa Kipenyo
If it quacks and walks like a duck, then it is a duck
Rais humtambui,unafuatilia Nini teuzi zake?Mwenye majibu atusaidie
Hiyo sifa ya umbea hana kabisa!Aaache na Umbea mkuu
Mnakosaga vya kuandika !!??JPM ni nabii aliyetumwa na Mungu....nabii hakubaliki kwao ila kuna siku tutamkumbuka JPM
Mchagga mama MheheKabila gani
Kwa hizo sifa na hiyo historia, huyo mama aliyeteuliwa huenda ni mshirikina.Alikua ccm wakat magu anaingia madarakan 2015 akafanyiwa figisu na kina nape ndo akahamia cuf akapewa kiti cha upendeleo na maalim mwenyewe..sasa tena amepewa kiti cha upendeleo na magu...mama ana bahat zake huyu japo ni mtu wa dini sana analisha yatima sana anajenga sana misikiti lakn pia anaijua fitna vizur sana
Huyu mama ndo alikuwa anatakiwa na wana MCHINGA na alifanyiwa UMAFIA na kamati maalum ikiongozwa na mzee wa bao la mkono kwenye kura za maoni kumfichia aibu SALMA KIKWETE.View attachment 1637439