CarlesSerra
Senior Member
- Aug 21, 2012
- 105
- 38
mkuu mito kacorola kangu kana cc 1300 hiyo fire ndo itakuwa kiasi gani?
Pole, penalt 25000, fire 30000 total 155000
wadau nina kacorola kangu E100 kameisha hii kitu inaitwa Road licence tangu tar 24 May 2013 nataka kwenda kulipia upya je kwa uchelewaji huo mdogo nitapigwa penalty? au? na kwa sasa gharama kwa gari kama hiyo ni kiasi gani? nimesikia tena sasa hivi ukilipia road licence kuna mambo ya fire tena huko huku hii ni kiasi gani?
Nawakilisha
mkuu ya kwangu imeisha tangu october last yr penalty ni hiyo 25000?
Nijuavyo hiyo ni penalty ya mwaka mzima