Road licence

Road licence

CarlesSerra

Senior Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
105
Reaction score
38
wadau nina kacorola kangu E100 kameisha hii kitu inaitwa Road licence tangu tar 24 May 2013 nataka kwenda kulipia upya je kwa uchelewaji huo mdogo nitapigwa penalty? au? na kwa sasa gharama kwa gari kama hiyo ni kiasi gani? nimesikia tena sasa hivi ukilipia road licence kuna mambo ya fire tena huko huku hii ni kiasi gani?

Nawakilisha
 
Mkuu ni bora ungefika TRA ya karibu upate ushauri zaidi na kiasi unachotakiwa kulipa
 
utapigwa faini kama utapitisha siku 25 tangu iishe

Ni kweli utalipia na fire inclusive, kiasi inategemea na cc
 
utapigwa faini kama utapitisha siku 25 tangu iishe

Ni kweli utalipia na fire inclusive, kiasi inategemea na cc

mkuu mito kacorola kangu kana cc 1300 hiyo fire ndo itakuwa kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
mkuu mito kacorola kangu kana cc 1300 hiyo fire ndo itakuwa kiasi gani?

Mkuu nimelipa kitambo hivyo sina kumbukumbu nzuri, ila ni kati ya elfu 30 - 40 ya fire, halafu elf 80-laki ya motor vehicle

Hebu jaribu ku-search humu kulikuwa na uzi unazungumzia haya makitu yote, hasa fire
 
Huna namna yoyote isipokuwa kwenda
kulipa pia tegemea faini kwa kwa huo
uchelewaji wako. Suala la fire liko TRA
yaani utakapokwenda ni lazima.

Kuna mdau hapo juu kakupa ushauri
mzuri sana ni bora kutembelea TRA
iliyo jirani ili kupata majibu sahihi
ikiwa kama haya uliyopewa huridhiki
nayo.

N:B Hizo gharama huna namna ya
kuzikwepa..
 
wadau nina kacorola kangu E100 kameisha hii kitu inaitwa Road licence tangu tar 24 May 2013 nataka kwenda kulipia upya je kwa uchelewaji huo mdogo nitapigwa penalty? au? na kwa sasa gharama kwa gari kama hiyo ni kiasi gani? nimesikia tena sasa hivi ukilipia road licence kuna mambo ya fire tena huko huku hii ni kiasi gani?

Nawakilisha

Mkuu hapo utatakiwa kulipa kilo unusu yaani Road Licence = 100000, fire = 20000, na penalty = 30000, Total = 150000
 
Mkuu kama hujapitisha mwezi (siku 30) utalipia 120,000 (Tsh.) hapo ni jumla ROAD LICENCE DISC& FIRE ukilipa leo utaambiwa uifuate baada ya siku 2 au 3 za kazi. la muhimu tembea na risiti uliyolipia maana TRA sasa wamechachamaa barabarani.
 
Back
Top Bottom