Carlssin
Member
- Oct 22, 2017
- 44
- 70
Rob Janoff [ kushoto kwenye picha ] ndiye aliye-design ile logo ya Apple. Kumekuwa na maswali kibao juu ya kwanini alichagua Apple lililong'atwa, au kwanini asingechagua Apple zima.
Rob Janoff amekuwa na maelezo marefu sana kuhusu jibu lake, lakini point yake ya msingi iliegemea hapa : " Nilitengeneza hiyo logo ya Apple likiwa na kovu la kung'atwa kwa sababu nilitaka kutengeneza scale itakayotofautisha kati ya tunda la Apple na tunda la Cherry "
Lakini kama ilivyo kawaida, mara nyingi sana mtu anayekudadasi kwa maswali ni lazima kuna ukweli anaouhisi tayari, lakini anachokitafuta kwako ni uhakika tu wenye ushahidi. Watu wengi sana walihisi hiyo Logo ilikuwa ni kwa ajili ya kumuenzi ALLAN TURIN [ Kulia kwenye picha ].
Allan Turin ni nani?
Allan alikuwa ni mathematician, logician, crypt-analyst na computer scientist. Unapenda Computer? Basi mshukuru sana huyu jamaa, kwa kuwa dunia imekuwa ikimfahamu zaidi kama baba wa sayansi ya kompyuta. Na katika vita ya pili ya dunia huyu jamaa alifanikiwaga kuiiba enigma code ya wajerumani.
Lakini alikuwaga ni shoga huyu, katika kipindi ambacho ushoga ulikuwa hauruhusiwi kabisa uingereza. Baada ya kugundulika, aliambiwa achague kati ya kumuhasi au aende jela. Alichagua kuhasiwa lakini baadae walikuta ameshajiua kwa kuling'ata Apple ambalo alikuwa amelidunga sindano ya sumu ya Cyanide.
Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa Rob Janoff alii-design ile logo ya Apple namna ile kwa lengo la kumuenzi huyu shoga ila hataki tu kusema.