Rob Janoff ndiye aliye-design ile logo ya Apple

Rob Janoff ndiye aliye-design ile logo ya Apple

Carlssin

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
44
Reaction score
70
Rob Janoff [ kushoto kwenye picha ] ndiye aliye-design ile logo ya Apple. Kumekuwa na maswali kibao juu ya kwanini alichagua Apple lililong'atwa, au kwanini asingechagua Apple zima.

Rob Janoff amekuwa na maelezo marefu sana kuhusu jibu lake, lakini point yake ya msingi iliegemea hapa : " Nilitengeneza hiyo logo ya Apple likiwa na kovu la kung'atwa kwa sababu nilitaka kutengeneza scale itakayotofautisha kati ya tunda la Apple na tunda la Cherry "

Lakini kama ilivyo kawaida, mara nyingi sana mtu anayekudadasi kwa maswali ni lazima kuna ukweli anaouhisi tayari, lakini anachokitafuta kwako ni uhakika tu wenye ushahidi. Watu wengi sana walihisi hiyo Logo ilikuwa ni kwa ajili ya kumuenzi ALLAN TURIN [ Kulia kwenye picha ].

Allan Turin ni nani?

Allan alikuwa ni mathematician, logician, crypt-analyst na computer scientist. Unapenda Computer? Basi mshukuru sana huyu jamaa, kwa kuwa dunia imekuwa ikimfahamu zaidi kama baba wa sayansi ya kompyuta. Na katika vita ya pili ya dunia huyu jamaa alifanikiwaga kuiiba enigma code ya wajerumani.

Lakini alikuwaga ni shoga huyu, katika kipindi ambacho ushoga ulikuwa hauruhusiwi kabisa uingereza. Baada ya kugundulika, aliambiwa achague kati ya kumuhasi au aende jela. Alichagua kuhasiwa lakini baadae walikuta ameshajiua kwa kuling'ata Apple ambalo alikuwa amelidunga sindano ya sumu ya Cyanide.

Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa kuwa Rob Janoff alii-design ile logo ya Apple namna ile kwa lengo la kumuenzi huyu shoga ila hataki tu kusema.
gg.flj.PNG
 
Hivi kwanini hawa ma Genius wengi ni mashoga Ref. Leonardo da Vinci, Nicola Tesla, Issac Newton etc..?

Addition.
The logo of allow in Amazon means we have Every thing..!

Lakin niliwahi soma sehem kua hiyo Apple ina represent tunda alilokula Eve pale Eden..
 
Aisee boss N. tesla he wasnot a gay, He was a lonely man never married until his death, He frequently like to stay alone usualy in hotel room, Most of superman sure are either gay or unmarried one, J Hoover, James Norman mattis ni wengi tu ambao hawakuwa kwenye mahusiano wholetime and they did wonders
 
Huenda ikawa ndio siri ya katoliki kukata padre kuoa, wakiamini watu wasiokuwa na majukumu ya mke wanakua na maajabu katika utendaji
 
Hata Jesus mwana wa Nazareth aliamua kuwa single tu... ! Sasa issue ni kuoa au hata kugegeda haitakiwa?

Issue ni kuoa kugegeda hata hao ma-genius wanagegedana si jamaa kasema walikua gay

Ila kwa case ya Katoliki mmmmhhh..........
 
Aisee boss N. tesla he wasnot a gay, He was a lonely man never married until his death, He frequently like to stay alone usualy in hotel room, Most of superman sure are either gay or unmarried one, J Hoover, James Norman mattis ni wengi tu ambao hawakuwa kwenye mahusiano wholetime and they did wonders
Mr Tesla he was a real gay kwa jinsi nilivyofatilia but kuhusu J Hoover bado kuna kizungumkuti mpaka leo ni ukweli kwamba hajawahi kugongana na mwanamke toka anazaliwa mpaka anakufa...........Dunia kichaka
 
Hivi kwanini hawa ma Genius wengi ni mashoga Ref. Leonardo da Vinci, Nicola Tesla, Issac Newton etc..?

Addition.
The logo of allow in Amazon means we have Every thing..!

Lakin niliwahi soma sehem kua hiyo Apple ina represent tunda alilokula Eve pale Eden..
Mh sasa kaoge anaugenius gan
 
Back
Top Bottom