Robben & Ribery (Robbery) rasmi jana waaga Munich, Nani mwenye jeuri ya kuchagua bora kati ya hawa bila kigugumizi?

Robben & Ribery (Robbery) rasmi jana waaga Munich, Nani mwenye jeuri ya kuchagua bora kati ya hawa bila kigugumizi?

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,813
Reaction score
21,807
Mechi ya kwanza kuwakutanisha mawinga hawa ilikua ni August 29 2009 na nyota ikaanza kuwaka siku ya kwanza tuu pale mjuzi wa asist Ribbery alipo mu asist mjuzi wa goli mara mbili nae hakufanya makosa mara zote, huku wakikumbatiana na kushangilia kwa furaha
images(2).jpeg


Miaka inaenda kwa kasi sana, rasmi jana mfaransa Franck Henry Pierre Ribbery(36) na mdutch Arjen Robben(35) walicheza mchezo wao wa mwisho dhidi ya Eintracht Frankfurt na kushinda 5-1 ambapo waliingia kama sub kipindi cha pili na wote wakaingia kambani akianza Ribbery 72' kumfanya ahitimishe jumla ya magoli 86 katika mech 273 za bundersli tangu atue bavarian kwenye summer ya 2007 akitokea Marseille kwa rekodi ya clab ya pound million 23, na magoli 127 na assist 203 katika career yake ya mpira ya mech 543 mpk jana na vikombe 23 ngazi ya club, aakaja Robben 78' nae kuhitimisha jumla ya magoli 99 ya bundersliga katika mech 201 za bundersliga tangu atue Bavarian August ya 2009 akitokea Madrid kwa paund mil 25, na magoli 196 na assist 101 katika career yake yote ya mpira ya mech 547 wa kulipwa mpk jana, na vikombe 24 ngazi ya club wakakumbatiana tena katika kushangilia lakini mara hii kwa huzuni na vilio,
images.jpeg
(statistics ni acording to wikipedia)

Wachambuzi wanasema Ribery n hatari sana kwenye timu kiujumla kutokana na asivyo mchoyo, assist, accuracy na organization, wakato robben yy ni hatari zaid akiwa kama yy kutokana na chenga, finishin na mbio

Ngoja nisiwachoshee hvi unahisi unaweza kumchagua bora kati ya hawa bila kigugumizi wala kuwaza km ukiulizwa kati ya hazard na lukakuboy?
 
Ribery alikuwa ni moto zaidi ya Arjen Robben! Yule jamaa alikuwa anateleza kama kambale na alijaliwa vitu vingi vinavyotakiwa kwenye mpira tofauti na Robben ambaye alikuwa ni mwepesi kukabika ingawa naye kwenye mbio alikuwa si haba.
 
Bora umerudisha ile avatar yako....Nilikuwa nakuangalia nasema hiiiihiiihiii....Roben alikuwa mkali zaidi
Hahahhahahaa.Mimi nawazimia wote kila mmoja kwenye style yake.Ilikuwa pair fire.
 
Ribery ni hatari sana hasa akiwa na mpira ukirudi nyuma kidogo msimu ambao walimtoa MANCHESTER UNITED robo fainali wanakwenda kumtoa Barcelona baadae wanawapiga Dortmund fainali mechi na United Ribery alikuwa hakamatiki kabisa akigusa tu mpira watu wanashika vichwa.
 
Back
Top Bottom