Umemjibu viziuri,wabongo wafukunyuku,kitu wanajua lkn wanataka umbea.Si zinamilikiwa na Roby One?
Lengo lako tukubishie?maana umeandika ukiwa unajua kabisa lazima mmiliki yupo na anaitwa Roby One so binafsi mimi nimekubaliana na wewe.
Case closed, alafu pale palipo continental ndio papo π€π€Kwanza hazihusiani kabisa, yaani wamiliki ni tofauti kabisa wala hata hawajuani, sasa sielewi kwanini unaamini ni mtu mmoja
Tangazo limekaa kimkakati πElewa Robby WA nguo na Robby WA dawa ni watu wawili TOFAUTI....
Robby aliwai kuja kuomba tafu kilingeni kwetu...
Magufuri alipo kufa akaanza kuvimba..kama Kuna boss inbox yangu ipo waziii
Najua Kila kitu UNAIJUA CONTINENTAL??!!Tangazo limekaa kimkakati π
Hahaha! Comment za wadada/mama wa jf huo zinafanya nijiulize ni ke wa aina gani!Mbinu ni ile ile ukosane na Mungu au serikali..!!
Halafu shemeji yako anavyonisifia mpole mwanamke wa Mithali πΉπHahaha! Comment za wadada/mama wa jf huo zinafanya nijiulize ni ke wa aina gani!
Hahaha! mna pepo yenu nyie wamama/dada..!! Mna comment za kitemi hadi mtu anashindwa kutofautisha kati ya ke na me..Halafu shemeji yako anavyonisifia mpole mwanamke wa Mithali πΉπ
Sisi bana tulishavurugwa kitambo ndiomana humu wanatuita madume coz hatuwasujudii..!! π€£πΉ
Heeee, mi nilikuwa najua ni mwenyewe πππ jamaa wanajina moja kabisa wote "Robby One"Elewa Robby WA nguo na Robby WA dawa ni watu wawili TOFAUTI....
Robby aliwai kuja kuomba tafu kilingeni kwetu...
Magufuri alipo kufa akaanza kuvimba..kama Kuna boss inbox yangu ipo waziii
Kilingeni? Uchawini ?Elewa Robby WA nguo na Robby WA dawa ni watu wawili TOFAUTI....
Robby aliwai kuja kuomba tafu kilingeni kwetu...
Magufuri alipo kufa akaanza kuvimba..kama Kuna boss inbox yangu ipo waziii