Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

Kilingeni? Uchawini ?


Sema jamaa hawatakosana kwenye majina kweli?
Kuna ma boss alikua anawaomba TAG 😊 ilikua way back 2018's kipindii magufuri kawabana wapiga deal

Kilinge=OFISI (kazini kwako=kilinge) mambo ya DAWA za BINADAMU pharmacy apewe invoice sijamaanisha USHIRIKINA/ UCHAWI HAPANA
 
Halafu shemeji yako anavyonisifia mpole mwanamke wa Mithali 😹😜

Sisi bana tulishavurugwa kitambo ndiomana humu wanatuita madume coz hatuwasujudii..!! 🤣😹
kusujudia ndio kufanyaje mwanetu?. 😁😁
 
Robby one fashion/Robby one pharmacy...
Vunja bei / Vunja bei pharmacy...


Cc: Mahondaw
 
Kuna ma boss alikua anawaomba TAG 😊 ilikua way back 2018's kipindii magufuri kawabana wapiga deal

Kilinge=OFISI (kazini kwako=kilinge) mambo ya DAWA za BINADAMU pharmacy apewe invoice sijamaanisha USHIRIKINA/ UCHAWI HAPANA
Kwa hio ni mtu mmoja au watu tofauti?
 
Kwa hio ni mtu mmoja au watu tofauti?
Two different people (watu wawili TOFAUTI kabisaa)

Kuna yule anaonekana kwenye mechi za timu ya Simba anaitwa Robert.. ana pharmacy hapo ilipo kuwaga continental zamanii hapo mtaa wa KIPATA/ SWAHILI ST.
 
Siku izii namwona kwenye jukwaa la Simba ie. Zanzibar alikua JIRANI KABISA NA MWINYI.

Namwona aki dhamini ngumii... boxing 🥊 jamaa now yupo vizuri

Haya maisha ni kama gwaride...ikisikika nyuma GEUKA WA MWISHO ANAKUA WA KWANZA

NB. Robby wa nguo na Robby wa dawa ni watu wawili tofauti
 
Back
Top Bottom