Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kuna ma boss alikua anawaomba TAG π ilikua way back 2018's kipindii magufuri kawabana wapiga dealKilingeni? Uchawini ?
Sema jamaa hawatakosana kwenye majina kweli?
Anataka kumsagia kunguniSi zinamilikiwa na Roby One?
Lengo lako tukubishie?maana umeandika ukiwa unajua kabisa lazima mmiliki yupo na anaitwa Roby One so binafsi mimi nimekubaliana na wewe.
kusujudia ndio kufanyaje mwanetu?. ππHalafu shemeji yako anavyonisifia mpole mwanamke wa Mithali πΉπ
Sisi bana tulishavurugwa kitambo ndiomana humu wanatuita madume coz hatuwasujudii..!! π€£πΉ
Kwa hio ni mtu mmoja au watu tofauti?Kuna ma boss alikua anawaomba TAG π ilikua way back 2018's kipindii magufuri kawabana wapiga deal
Kilinge=OFISI (kazini kwako=kilinge) mambo ya DAWA za BINADAMU pharmacy apewe invoice sijamaanisha USHIRIKINA/ UCHAWI HAPANA
Two different people (watu wawili TOFAUTI kabisaa)Kwa hio ni mtu mmoja au watu tofauti?