Robert Alai: Tanzania is Burying Covid-19 Victims at Night

Valar morghulis(wanadamu wote lazima wafikwe na mauti)

Valar dohaeris(wanadamu wote lazima watumikie),(GOT)

Wapumzike pema wote waliotangulia.
Mauti ni njia ambayo kila mmoja wetu hana budi kuipitia.
 
Nmesikiliza BBC pia Kenya ni hivyo hivyo mtu akifariki anazikwa na watu wachache na selikali inasimamia haijalishi kafa kwa ugonjwa gani.

Hiyo ni moja ya mikakati ya selikali kuzuia maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea januari msiba umetokea mmoja mtaani kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki nyumbani kama hunasababu ya kutoka nyumbani, corona ipo.
 
Kwani chadema wametoa takwimu? Mbona press conference yao ilizuiwa sasa wametoa lini na ziko wapi hizo takwimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmesikiliza BBC pia Kenya ni hivyo hivyo mtu akifariki anazikwa na watu wachache na selikali inasimamia haijalishi kafa kwa ugonjwa gani.

Hiyo ni moja ya mikakati ya selikali kuzuia maambukizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta habari za Kenya wakati mimi nazungumzia Tanzania!!

Kenya hawana kificho, na ndio maana daily wanatoa updates!

Sio tu kila cku wanatoa updates, bali wanatoa hata idadi ya testing ambao kwa sasa ni zaidi ya 15K.

Kinyume chake, Tanzania ni full kuficha ficha!!

Kutokana na hilo ndio maana nimehoji ni lini serikali ilitangaza kuanza kuzika maiti ZOTE bila kujali marehemu amekufa kwa ugonjwa gani ili tuamini hao iliowazika wapo waliotokana na ajali, matatizo ya uzazi, malaria, moyo n.k lakini hakuna wa coronavirus cuz' for days now, namba bado imeganda kwenye vifo 10 kama ambavyo huwa zinaganda Views za Ali Kiba YouTube!!!
 

Nmekwambia selikali kuzika watu kama hao ni moja ya mikakati ya kupunguza maambukizi si hapa tu hata Kenya wanafanya hivyo.

Huku mtaani hata mtu akifa kwa ajali selikali ya mtaa inasimamia ili watu wasirundikane msibani na mazikoni wanaenda watu wachache.

NI MOJA YA MKAKATI WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli
 
Mkuu, kuna watu wengi wanakufa na magonjwa yao ya zamani, ni vigumu kuendelea na utaratibu wa zamani wa mazishi kabla corona haijaingia TZ.

Mazishi ya zamani hayakujali mikusanyiko siju hizi mkikaribiana tu basi mmeshaambukizana maradhi ya mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…