Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmesikiliza BBC pia Kenya ni hivyo hivyo mtu akifariki anazikwa na watu wachache na selikali inasimamia haijalishi kafa kwa ugonjwa gani.Lini na wapi serikali ilitangaza kuwa kwa kipindi hiki ni serikali ndiyo itakuwa inazika misiba bila kujali mtu amekufa kwa ugonjwa upi?!
Unataka kusema hivi sasa ndugu akifa hata kwa kugongwa gari watu tunatakiwa kwenda kuripoti serikalini ili wafuate maiti na wakaizike wao?
Ikiwa PM akizungumzia suala la misongamano; kwa issue ya kwenye mabaa amesema "watu wawe makini".
Hivi ikiwa hata Walevi wanaruhusiwa waendelee kula maji ya dhahabu but "wawe makini" hivi unaamini kabisa serikali imejitwisha jukumu la kuzika maiti, na wala sio wanazozika ni special cases?!
Acheni fix bhana
Sasa unataka kila mtu atangazwe kwamba flani nae toka kwa mtogole kafa na atazikwa na watu wachache?Mbona misiba mingine ya wananchi hawasemi watu wasiozidi 10? NI special kwa baadhi tu?
Chato ni Kenya ila Machame ni TZNi Waziri mkuu na Waziri wa afya tu ndiyo wenye shamana ya kutangaza vifo vya corona. Punda eneleeni kuchapa kazi ili mlipe kodi binadamu waishi salama Chato.
Tokea januari msiba umetokea mmoja mtaani kwangu.Ukitumia takwimu za chadema unaweza kudhani kuna watu laki 5 wanafariki kila siku, tumia commonsense hapo mtaani kwako kama kuna watu 10 wamefariki wiki hii jua hali ni mbaya lkn kama misiba ipo kawaida kama miaka 10 iliyopita basi na wewe jiongeze. Tokea Januari misiba imetokea mitano hapa mtaani ambayo ni hali ya kawaida kwa mtaani kwangu
Ukitumia takwimu za chadema unaweza kudhani kuna watu laki 5 wanafariki kila siku, tumia commonsense hapo mtaani kwako kama kuna watu 10 wamefariki wiki hii jua hali ni mbaya lkn kama misiba ipo kawaida kama miaka 10 iliyopita basi na wewe jiongeze. Tokea Januari misiba imetokea mitano hapa mtaani ambayo ni hali ya kawaida kwa mtaani kwangu
Unaleta habari za Kenya wakati mimi nazungumzia Tanzania!!Nmesikiliza BBC pia Kenya ni hivyo hivyo mtu akifariki anazikwa na watu wachache na selikali inasimamia haijalishi kafa kwa ugonjwa gani.
Hiyo ni moja ya mikakati ya selikali kuzuia maambukizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ni bingwa wa kumalizia, yeye hakabi, anasubiria tu kwenye 18. Tumwombe Mungu tu asifike Bungeni na huko Chato.Watu wasiozidi kumi kuondoa misongamano, wanafariki kwa magonjwa yao ya zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta habari za Kenya wakati mimi nazungumzia Tanzania!!
Kenya hawana kificho, na ndio maana daily wanatoa updates!
Sio tu kila cku wanatoa updates, bali wanatoa hata idadi ya testing ambao kwa sasa ni zaidi ya 15K.
Kinyume chake, Tanzania ni full kuficha ficha!!
Kutokana na hilo ndio maana nimehoji ni lini serikali ilitangaza kuanza kuzika maiti ZOTE bila kujali marehemu amekufa kwa ugonjwa gani ili tuamini hao iliowazika wapo waliotokana na ajali, matatizo ya uzazi, malaria, moyo n.k lakini hakuna wa coronavirus cuz' for days now, namba bado imeganda kwenye vifo 10 kama ambavyo huwa zinaganda Views za Ali Kiba YouTube!!!
Sio kweliNmekwambia selikali kuzika watu kama hao ni moja ya mikakati ya kupunguza maambukizi si hapa tu hata Kenya wanafanya hivyo.
Huku mtaani hata mtu akifa kwa ajali selikali ya mtaa inasimamia ili watu wasirundikane msibani na mazikoni wanaenda watu wachache.
NI MOJA YA MKAKATI WA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI
Sent using Jamii Forums mobile app
changamoto ya kupata pumzi
Chapeni kazi km mzee wa chato
Swali la kipuuzi hili.Swali- Kabla ya korona watu walikuwa hawafi?
Htr sn hii mkuu"Changamoto ya kupata pumzi?"
Mkuu, kuna watu wengi wanakufa na magonjwa yao ya zamani, ni vigumu kuendelea na utaratibu wa zamani wa mazishi kabla corona haijaingia TZ.Lini na wapi serikali ilitangaza kuwa kwa kipindi hiki ni serikali ndiyo itakuwa inazika misiba bila kujali mtu amekufa kwa ugonjwa upi?!
Unataka kusema hivi sasa ndugu akifa hata kwa kugongwa gari watu tunatakiwa kwenda kuripoti serikalini ili wafuate maiti na wakaizike wao?
Ikiwa PM akizungumzia suala la misongamano; kwa issue ya kwenye mabaa amesema "watu wawe makini".
Hivi ikiwa hata Walevi wanaruhusiwa waendelee kula maji ya dhahabu but "wawe makini" hivi unaamini kabisa serikali imejitwisha jukumu la kuzika maiti, na wala sio wanazozika ni special cases?!
Acheni fix bhana
Ila misongamano inaruhusiwa kwenye vilabu vya pombe na kumbi za starehe?Watu wasiozidi kumi kuondoa misongamano, wanafariki kwa magonjwa yao ya zamani
Sent using Jamii Forums mobile app