Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Kwa kifupi Kuna maombi 3 yamepelekwa na watu tofauti. Hii ya Robert Amsterdam ndo ya kufa mtu maana ameunganisha hadi mauaji ya kina Ben Saanane. Azory Gwandwa na wengineo
Huyu Mzungu yeye ananufaika vipi na hizi kesi? Ni kwamba anatuonea huruma Watanzania!? Au ana Agenda yake ya siri?
 
Huyu Mzungu yeye ananufaika vipi na hizi kesi? Ni kwamba anatuonea huruma Watanzania!? Au ana Agenda yake ya siri?
Mwanasheria wa Lissu huyo na ni kampuni hio sio Mtu Binafsi, Yupo kazini hapo yani kalipwa na Sijui Lissu hela katoa wapi

Lissu Mtu wa ajabu sana
 
Time will tell.
As long as CCM wanatumia polisi, sisi wananchi nasi tutawatumia wazungu.
Ngoma droo, huh?

Unajidanganya, siku chadema wasipo transfer hela kwenye akaunti ya huyo Muzungu ndiyo mwisho wa hizi drama zote, ila angalieni tu deni lisiwazidi akawageuka, huyo ni Myahudi, ...
 
Back
Top Bottom