Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Kuwaelewa bavicha inahitaji uwe zuzu
 
It's a trade off.

CCM waache kutumia polisi na sisi wananchi tutaacha kuwatumia wazungu.

As simple as freaking that!

Hakuna aliyekukataza kumtumia Muzungu au yoyote yule maadamu una fedha za kumlipa, huo ni uamuzi wenu, lkn fedha zetu za ruzuku sasa Mbowe, Tundu &Co. la kihalifu hawapati hata shilingi ngoja tuone wataende mbali kiasi gani na hizi drama bila ya hela, ...
 
Jamaa wanabana kila upande, huku EU, Pompeo, Bunge la Ulaya, Amnesty, kazi wanayo.
Mapimbi wa mhutu , viherehere na vibaraka wa mhutu waimba mapambio ya kusifu na kuabudu wanahaha balaa wiki ngumu sana kwao hii .
 
Mwanasheria wa Lissu huyo na ni kampuni hio sio Mtu Binafsi, Yupo kazini hapo yani kalipwa na Sijui Lissu hela katoa wapi

Lissu Mtu wa ajabu sana
Unajidanganya, siku chadema wasipo transfer hela kwenye akaunti ya huyo Muzungu ndiyo mwisho wa hizi drama zote, ila angalieni tu deni lisiwazidi akawageuka, huyo ni Myahudi, ...
Toka Mwaka 2005 mlikua mkihubiri hii kauli lakini mpaka leo Ccm inazidi kuimarika tu.. Tatizo wapinzani hawapo commited katika kuiondoa Ccm. Wao wapo kwa maslahi na fursa tu.
Another comedy from saccos [emoji16] [emoji23]
Labda anataka kuonja ladha ya nya ya mzungu
Makamanda uchwara mnatia kichefuchefu.
Hadi 2025 itafika mkiwa mnahangaika na ujinga
Naona mnazidi kukimbizana na wakati!! Poleni sana jiandaeni tu, ICC ndo iyo. Yaaani mjadiliwe vile na kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU alafu ICC wawaache????? Safari hii lazima muite Maji mmaaaaaa!!!!

Go Amsterdam!!
 
..............................................................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…