Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Icc yanapelekwa malalamiko na maombi kuwa waingilie kati kuchunguza na kuwawajibisha wahusika. Hayapelekwi mashtaka
Title ya Uzi ni misleading.

Mtu binafsi Hawezi fungua mashtaka ICC.

Mashitaka yanakuwa Initiated na Prosecutor ama State party wa the Rome Statute iliyo establish ICC na lazima zile hatua zote muhimu za mwanzoni zifanyike nazungumzia Investigation.

Hivyo kusema kwamba Robert Amsterdam anakwenda fungua mashitaka Jumatatu ni kudanganya watu. hana uwezo huo.

Anachoweza ni kupeleka umbea wake tu lakini mwisho wa siku anayefungua kesi ni mwingine na anafanya hivyo baada ya kukusanya ushahidi wa kujitosheleza.

Tanzania hakuna War Crimes, hakuna Genocide, hakuna aggression, hakuna crimes against humanity. Jamaa anajifurahisha tu.

Mambo sio mepesi kuliko Amsterdam na Chadema wanavyofikiri ni rahisi.

Tchao.
 
Title ya Uzi ni misleading.

Mtu binafsi Hawezi fungua mashtaka ICC.

Mashitaka yanakuwa Initiated na Prosecutor ama State party wa the Rome Statute iliyo establish ICC na lazima zile hatua zote muhimu za mwanzoni zifanyike nazungumzia Investigation.

Hivyo kusema kwamba Robert Amsterdam anakwenda fungua mashitaka Jumatatu ni kudanganya watu. hana uwezo huo.

Anachoweza ni kupeleka umbea wake tu lakini mwisho wa siku anayefungua kesi ni mwingine na anafanya hivyo baada ya kukusanya ushahidi wa kujitosheleza.

Tanzania hakuna War Crimes, hakuna Genocide, hakuna aggression, hakuna crimes humanity. Jamaa anajifurahisha tu.

Mambo sio mepesi kuliko Amsterdam na Chadema wanavyofikiri ni rahisi.

Tchao.
Kwa iyoTanzania hakuna crimes against humanity??!

Watu mlioua Zanzibar, Tarime na Songwe ni nini?? Watu Miliowafungulia mashtaka yasiyo na dhamana ili kuwazuia kushiriki uchaguzi huku wengine mkiwateka sio crimes against humanity???

Yaani kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU iwajadili vile alafu ICC wawaache??? Thubutu yenu
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Acheni ujinga, kama mliwaaminisha ushindi rudisheni pesa za watu. Hakuna kesi hapo mnatibu majeraha ya kushindwa vibaya tuu.

Hivi mnadhani ICC ni mahakama ya ndizi Mabibo.

Halafu na wewe mleta uzi umezidi ukilaza. Mambo mengine jiongeze kabla ya kushabikia upuuzi ukidhani kila mwanasheria ana akili za hekima
 
Ningekuwa polis wanaoitakia mabaya Tanzania ningepoteza wengi sana kimya kimya mpaka wabaki watu swafi
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mungu wabariki Wazungu
 
Kwa iyoTanzania hakuna crimes against humanity??!

Watu mlioua Zanzibar, Tarime na Songwe ni nini?? Watu Miliowafungulia mashtaka yasiyo na dhamana ili kuwazuia kushiriki uchaguzi huku wengine mkiwateka sio crimes against humanity???

Yaani kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU iwajadili vile alafu ICC wawaache??? Thubutu yenu
Yes hakuna crimes zilizokuwa committed hapa nchini unaweza sema ni crimes against humanity.

Crimes against humanity these are serious violations committed against a large scale civil population.

Hakuna hata crime imetokea unaweza sema imekuwa committed against a large scale civil population.

Prosecutor mpaka afanye uchunguzi wake ndio anafungua kesi, mpaka hilo lifanyike Huyo Amsterdam anawapa matumaini hewa tu.

Jifunzeni kuwa professional jamani, uongo uongo unawaondolea credibility yenu hata ile ndogo iliyobakia.
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Wanajitekenya hao halafu wanacheka wenyewe
 
Hopeless thread by ass!
 
Kwa upuuzi unaoendelea TZ ni bora tupigwe "PINCHI" mabumbunda ya CCM akili zikae sawa ingawa tutaumia wote!!
 
Mmeshindwa kupambania freedom hapa Tanzania kwa maandamano aliyoitisha Lissu wenu ,mkamsaliti !.Leo hii mnaona wazungu wakombozi wenu! Mpo kama Nyumbu hivi! Mnashindwa kujisaidia Alafu mnataka msaidiwe,!.
Hivi unadhani maandamano ya amani yanaruhusiwa TZ?

Ingawa kwenye Katiba ya nchi yanaruhusiwa, lakini Jeshi la Polisi linaaamua kuivunja Katiba hiyo ya nchi kwa kuyazuia!

Wakati kwenye Katiba ya nchi "mmebana" kuwa Tume ya uchaguzi itakapokuwa imetangaza matokeo hakuna mahakama yoyote, inayoweza kusikiliza suala la kupinga matokeo!

Option pekee inayobaki ni kuitisha maandamano ya amani, lakini hata hiyo "option" nayo Jeshi la Polisi nchini aka Jeshi la Polisi la CCM, linaizuia!
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Hivi kesi hajafungua tu huyu bwanyenye, mbona anawazingua BAVICHA & UFIPA kiasi hicho??? Pitisheni bakuli waambieni raia wawachangie pesa kama ndiyo kikwazo cha kuchelewa.
 
Hivi unadhani maandamano ya amani yanaruhusiwa TZ?

Ingawa kwenye Katiba ya nchi yanaruhusiwa, lakini Jeshi la Polisi linaaamua kuivunja Katiba hiyo ya nchi kwa kuyazuia!

Wakati kwenye Katiba ya nchi "mmebana" kuwa Tume ya uchaguzi itakapokuwa imetangaza matokeo hakuna mahakama yoyote, inayoweza kusikiliza suala la kupinga matokeo!

Option pekee inayobaki ni kuitisha maandamano ya amani, lakini hata hiyo "option" nayo Jeshi la Polisi nchini aka Jeshi la Polisi la CCM, linaizuia!
Maandamano ya amani Tanzania wanaruhusiwa wazalendo tu; vibaraka wakaandamie huko London & Washington
 
Watu waolikuwa addicted na mediocrity, ikiondolewa wanaona wanaonewa sana na wanataka mtu ambaye atawarudisha tena huko kwenye mediocrity.
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mbona hadithi zako unachanganya mambo
1. Umesema Rotterdam ameweza kushawishi EU kuijadili Bongo , umeweka na conclusion ya kusubiri hatua zitakazo chukuliwa, kama vile hizo hatua itakuwa ni dhidi ya Bongo.

2. Umesema Rotten atafungua kesi ICC j3 , wakati huo huo umeweka kizuizi cha kanuni endapo itakubaliwa , na pia Kuweka hukumu hapo hahapo ya kwamba kuna hatua zimechukuliwa wakati hakuna kitu kama hicho.

Hatua huchukuliwa kwa Bunge la Ulaya kutoa azimio na kwa ICC ni wito au hukumu ambavyo vyote bado kwani hata hiyo kesi mpaka ikidhi vigezo .

Na ingekuwa hivyo basi kesi ICC zingekuwa zinafunguliwa kiholela kama kwenye nataka ya mwanzo mtogole.
Rejea kinacho endelea Kwa M7, Ethiopia, DRC, , Belarus, Moldova, Serbia, USA , Saudi na Kashogi , Israel vs Palestine n.k
 
Nakusapoti, lakini hujatulia kiuandishi aisee! Jisome hata kidogo, basi, sawa mkuu eeeh???
 
Kwa kifupi Kuna maombi 3 yamepelekwa na watu tofauti. Hii ya Robert Amsterdam ndo ya kufa mtu maana ameunganisha hadi mauaji ya kina Ben Saanane. Azory Gwandwa na wengineo
Watu wanaokufa Rwanda, Butundi, Congo DRC, Congo Brazavile, Sudan n.k ni wengi kuliko Tanzania na hakuna aliyefungwa na ICC
 
Kuna watu wanalazimisha kubakia relevant, si mfungue tu sasa kuna haja gani ya kututangazia kila siku ?

Anaejaribu kubakia relevant ni CCM kwa kweli na ashapoteza legitimacy ya kuendelea kuwepo, kama sio police, mahakama, wanajesh na tume tungekuwa tunaongea mengine sasaivi...
 
Back
Top Bottom