Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Title ya Uzi ni misleading.Icc yanapelekwa malalamiko na maombi kuwa waingilie kati kuchunguza na kuwawajibisha wahusika. Hayapelekwi mashtaka
Mtu binafsi Hawezi fungua mashtaka ICC.
Mashitaka yanakuwa Initiated na Prosecutor ama State party wa the Rome Statute iliyo establish ICC na lazima zile hatua zote muhimu za mwanzoni zifanyike nazungumzia Investigation.
Hivyo kusema kwamba Robert Amsterdam anakwenda fungua mashitaka Jumatatu ni kudanganya watu. hana uwezo huo.
Anachoweza ni kupeleka umbea wake tu lakini mwisho wa siku anayefungua kesi ni mwingine na anafanya hivyo baada ya kukusanya ushahidi wa kujitosheleza.
Tanzania hakuna War Crimes, hakuna Genocide, hakuna aggression, hakuna crimes against humanity. Jamaa anajifurahisha tu.
Mambo sio mepesi kuliko Amsterdam na Chadema wanavyofikiri ni rahisi.
Tchao.