Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Tanzania ndo yupo aliyefungua. Tulieni tuWatu wanaokufa Rwanda, Butundi, Congo DRC, Congo Brazavile, Sudan n.k ni wengi kuliko Tanzania na hakuna aliyefungwa na ICC
Kwa hiyo unafurahi sana? Huu ni upumbavu usio kifaniBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Tariq Aziz kwenye ubora wako ...endelea kuwadanganya ila yajayo yanafurahishaRobert Amsterdam anatapatapa.
Tugawane silaha nusu kwa nusu alafu tupigane..si zimenunuliwa kwa kodi zetu...mnaonaje MaCCMMmeshindwa kupambania freedom hapa Tanzania kwa maandamano aliyoitisha Lissu wenu ,mkamsaliti !.Leo hii mnaona wazungu wakombozi wenu! Mpo kama Nyumbu hivi! Mnashindwa kujisaidia Alafu mnataka msaidiwe,!.
Maria Sarungi alishashitakiMaria Sarungi si alishatushtaki kama Taifa? Au mashtaka mawili tofauti?
Zitto huyo katika ubora wake, dogo una hasira sana na nchi yetu. Sikia dogo, ukiona vipi we hama tu nchi nenda katafute raha huko Yemen, Somalia, Sudan, ama Afghanstan.Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Robert Amsterdam anatapatapa.
Hakuna kesi hapo!Subiri mrejesho na maamuzi ya ICC...
Tulia bwashee .Robert Amsterdam anatapatapa.
Yani kamati ya Mambo ya mambo ya nje ya Bunge la EU wawajadili vile, alafu ICC waseme hakuna kesi??? Thubutu yenu!! Jiandaeni tu, uzuri jela za kule zina tv na magazetiHakuna kesi hapo!
Sasa jiandaeni kuwasindikiza watu wenu IccHamna kitu hapo,wazungu wanaangalia interest zao kwanza,,itakua dana dana hadi mnashitukia mwaka 3000 huu hapa,,
Badili mbinu,,UkAwA tuliwambia kosa la kususia bunge la katiba litawacost miaka 100.
Sikujua historia huwa inabadilika kutegemea msimuliaji husikaMzungu ndiye aliye komesha biashara ya utumwa baada ya sisi kuuzans wenyewe kwa wenyewe.
Dikteta pekee anayefahamika na kila mtu ni huyu Mr Mzungu anayedai huduma za afya, maji na elimu eti siyo maendeleo. Anawalazimisha chama kisiwe na uwakilishi wa wabunge. Labda na huyu Mr Hai ambaye chama hatimaye kimemparaganyikia mikononi mwake.Kuwa dikteta kwenye Dunia ya sasa inahitajika uwe na roho ya mwendawazimu
Hebu cheki Russia pamoja na ubabe wake wote bado akipigwa vikwazo vya kutokutumia $$$ anayumba kama mlevi
Ndio maana kumbe watu wenye akili kama JK ,Mkapa& Mwinyi walichukua $$$ za kutosha halafu wakakabidhi vijiti
Mimi Sina wasi wasi lusinde a.k.a kibajaji yupo na atatutea iccRobert Amsterdam anatapatapa.
Huyo aliyeshinda kwenye jimbo lake,kikao cha chama gani kilimpitisha,kwani aligombea ili ashindwe? Au kwa vile hakushinda majimbo ya kaskazini ndo mnamnyanyapaa...Si mlimtamtafuta mbunge aliye ingia bungeni kwa hisani ya mtu wa Chato, Halima Mdee mlisema analysis vikao anachelewesha maendeleo. Sasa mnamtaja wa nini tena?
Hata mwenyewe hajui alishindaje kwakweli. Inawezekena akawa afisa kipenyoHuyo aliyeshinda kwenye jimbo lake,kikao cha chama gani kilimpitisha,kwani aligombea ili ashindwe? Au kwa vile hakushinda majimbo ya kaskazini ndo mnamnyanyapaa...