Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
"Wazungu wazuri sana katika kuanzisha tatizo na ku-offer solution wanapokuwa na jambo lao!" Kuufyata muhimu ikiwa "hujui chanzo... Uta-offer vipi hitimisho?"Usiwe na hasira ndivo walivo wazungu,unakumbuka Mkapa na Basili Mramba waliponunuwa Rada? Ni wao waingereza waliandamana kuishinikiza serikali yao,iturudishie pesa zetu.
Mifano mi mingi tu rafiki angalia milipuko ya Ebora wao hujitolea kwenda na sisi tukiufyata na kuangalia kwenye vyombo vya habari ambovo pia ni vya. Sio kila jambo Lao ni haya ccm mwenzangu.