Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ukizoea njaa unahisi kila mtu ana njaaHuyo atakuwa hajalipwa na Tundu Lisu so njaa inamuuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukizoea njaa unahisi kila mtu ana njaaHuyo atakuwa hajalipwa na Tundu Lisu so njaa inamuuma!
Haya makalio yanatafuta mtu wa kuyashughulikia''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
View attachment 1707444View attachment 1707448View attachment 1707446
View attachment 1707449
utajua tu muda si mrefuHuyu kidudu anataka nn kutoka Tanzania
Ufe wewe!Sijajua anatakiwa aathirike nani na Korona ndipo serikali iamini kuwa hali ni mbaya country-wise na ianze kusimamia kwa kitendo utekelezaji wa hatua mbalimbali za tahadhari dhidi ya Korona
Wanajidai kutusaidia kwa gharama zao ndogo ila hujui wanachokipata huko DRC ni bora ukakaa kimya au fanya tafiti kwanza. Mzungu sio ndugu yako muraUsiwe na hasira ndivo walivo wazungu,unakumbuka Mkapa na Basili Mramba waliponunuwa Rada? Ni wao waingereza waliandamana kuishinikiza serikali yao,iturudishie pesa zetu.
Mifano mi mingi tu rafiki angalia milipuko ya Ebora wao hujitolea kwenda na sisi tukiufyata na kuangalia kwenye vyombo vya habari ambovo pia ni vya. Sio kila jambo Lao ni haya ccm mwenzangu.
Hata wewe sio ndugu yangu,mnashindiliana milisasi kumi nasita kama mnauwa tembo ndio mnapendana hivo?Wanajidai kutusaidia kwa gharama zao ndogo ila hujui wanachokipata huko DRC ni bora ukakaa kimya au fanya tafiti kwanza. Mzungu sio ndugu yako mura
MmhCorona ipi tena Jamani?
Kwani si tumekubaliana Tanzania kuna Tatizo tu la upumuaji?
Bado anapiga kazi?Aisee JPM anawasumbua sana hawa jamaa, walikuwa wanafaidi hii nchi bana wacheni tu. JPM piga kazi hawatakusahau daima na vitukuu vyao vitakuongelea sana. Jemedari ambaye anaangalia maslahi ya Watanzania. Yaani kuanzia News Week, Bloomberg, Times, telegraph etc you name it JPM yupo pale. Kumbe ni kweli Tanzania ni matajiri sio bure, huu upendo unaoonyeshwa na manyang'au sio bure. Wacha waoshwe.
Bia tamu"Wazungu wazuri sana katika kuanzisha tatizo na ku-offer solution wanapokuwa na jambo lao!" Kuufyata muhimu ikiwa "hujui chanzo... Uta-offer vipi hitimisho?"
Sema hivii, asikuambie mtu, TU TU, bia tamux3🏃Bia tamu