Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

Usiwe na hasira ndivo walivo wazungu,unakumbuka Mkapa na Basili Mramba waliponunuwa Rada? Ni wao waingereza waliandamana kuishinikiza serikali yao,iturudishie pesa zetu.
Mifano mi mingi tu rafiki angalia milipuko ya Ebora wao hujitolea kwenda na sisi tukiufyata na kuangalia kwenye vyombo vya habari ambovo pia ni vya. Sio kila jambo Lao ni haya ccm mwenzangu.
Wanajidai kutusaidia kwa gharama zao ndogo ila hujui wanachokipata huko DRC ni bora ukakaa kimya au fanya tafiti kwanza. Mzungu sio ndugu yako mura
 
Wanajidai kutusaidia kwa gharama zao ndogo ila hujui wanachokipata huko DRC ni bora ukakaa kimya au fanya tafiti kwanza. Mzungu sio ndugu yako mura
Hata wewe sio ndugu yangu,mnashindiliana milisasi kumi nasita kama mnauwa tembo ndio mnapendana hivo?
 
Aisee JPM anawasumbua sana hawa jamaa, walikuwa wanafaidi hii nchi bana wacheni tu. JPM piga kazi hawatakusahau daima na vitukuu vyao vitakuongelea sana. Jemedari ambaye anaangalia maslahi ya Watanzania. Yaani kuanzia News Week, Bloomberg, Times, telegraph etc you name it JPM yupo pale. Kumbe ni kweli Tanzania ni matajiri sio bure, huu upendo unaoonyeshwa na manyang'au sio bure. Wacha waoshwe.
Bado anapiga kazi?
 
Back
Top Bottom