Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Maandamano halisi huwa hayazuiliki; kipimo cha kushindwa kwenu kihalali ni pale raia walipompuuza Mr Hai & Mr Mzungu walipotaka kuwaandamanisha Watanzania. Halafu ajabu hawakutaka kabisa kuwa frontline! Lengo wakinukishe halafu wao wasepe zao mamitoni. Raia wamewashtukia nyie!Tofautisha kushindwa na kuzuiwa. Watu walizuiwa kuandama ili kuficha aibu ya watawala kwani barabara zingefungwa .
Sema hakuna mtu wa kuandamana wala sababu ya kuandamana, penye sababu huwezi kuwazuia watu kuandamana kwani 2012 kule Libya, Tunisia na Misri wananchi hawakuzuiwa kuandamana!??... Mbona waliandamana!??.. ni kwakuwa walikuwa na sababu za msingi sio hapa eti sababu Mbowe,Lissu,Lema,Sugu etc wamekosa ulaji ndo watu waingie barabarani!??... Haitakuja kutokea watanzania sio wajinga kama mnavyodhani.Tofautisha kushindwa na kuzuiwa. Watu walizuiwa kuandama ili kuficha aibu ya watawala kwani barabara zingefungwa .
Mnasema "we will fight," halafu wajeda wakitokea barabarani mnalalamika tena. Ungefight hivyo kwa ajili ya maisha yako binafsi, ungeshakuwa zilionea ile kitambo.The fight is not over, this is our fight
In every angle we will fight for "uhuru , haki na maendeleo ya watu"
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Excellent to you and not to me. Huyo Amsterdam hawezi kutunyima usingizi. Hata Trump ameisha fungua kesi alfu kidogo kupinga ushindi wa Biden. Lakini hii haimnyimi Biden usingizi. Kumbuka kuwa, hata siku moja wakili hakatai kesi. Wewe kama bado una pesa ya kumlipa, atakuambia kuwa kesi hii ni lazima atashinda na kila kitu kiko wazi. Na kwa Amsterdam si tofauti, kwa vile Lissu bado anacho li;e kitita alichotanguliziwa kwa bahadi ya kuwapa migodi, Amstedam anaona aendelee kuzikamua. Bahati mbaya hizo pesa Lissu harusiwi kuzitumia kwa matumizi binafsi bali matumizi ya kiharakati, Na pia yeye siyo signatoryu, zinatoka kwa yeye kuthibitisha zinaenda kwenye harakati. Wazungu si wapumbavu kukupa pesa zotehizo utumie unavyotaka. Zimewekwa kwenye a?c maalumu na siyo personal A/C ya Lissu.Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Hivi tumwiteje kijana anayejiita mwanaume lakini kutwa nzima anashinda kwenye facebook na twitter kutafuta messages za kipuuzi za mwanaume mwenzake na kukimbia kuziweka hapa?. Hakika tutaendelea kuwafahamu wafuasi wa 'mambo ya faragha'Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:
Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Pole kwa maumivu, hata hivyo ukweli lazima usemwe.Hivi tumwiteje kijana anayejiita mwanaume lakini kutwa nzima anashinda kwenye facebook na twitter kutafuta messages za kipuuzi za mwanaume mwenzake na kukimbia kuziweka hapa?. Hakika tutaendelea kuwafahamu wafuasi wa 'mambo ya faragha'
Pole kwa maumivu, hata hivyo ukweli lazima usemw
unatuaibisha sisi wanaume. Hata wana ufipa wanakushangaa, ila wanashindwa kukwambia.Pole kwa maumivu, hata hivyo ukweli lazima usemwe.
Kwani sisi wenyewe tumekwisha shindwa?Acha watusaidie na huyu dikteta wetu
We pimbi, aliekudanganya kuwa ARV unazokunywa zinatolewa na wazungu bure ni nani🤔? Yaani watu waingie gharama za uzalishaji,alafu waje kukugawia Wewe kapuku bure?Acha ujinga bwana mdogo.Halafu ukute unategemea arv zao za bure🤣🤣🤣
Nini faida ya Uhuru Hali watu wanakufa kwa umasikini na maradhi huku tumeshindwa zibadili raslimali kuinua maisha ya watu.
Nazungumzia ukatili utokao na matendo ya watawala ktk kulinda tumbo.Kwa uchache Mugabe ameuwa wazimbabwe elf 2, nkurunziza laki 5, achilia kamuzu banda,Bashir na darfur,abacha,moi, mobutu, bokasa, nguema,iddi amini,siad bare,menguist marium,nk watu waliouliwa na madikteta
non senseThe fight is not over, this is our fight
In every angle we will fight for "uhuru , haki na maendeleo ya watu"
Hivi tumwiteje kijana anayejiita mwanaume lakini kutwa nzima anashinda kwenye facebook na twitter kutafuta messages za kipuuzi za mwanaume mwenzake na kukimbia kuziweka hapa?. Hakika tutaendelea kuwafahamu wafuasi wa 'mambo ya faragha'
Pole kwa maumivu, hata hivyo ukweli lazima usemwe.
Halafu kuna pumbavu moja lipo TBC limepewa ukurugenzi linaropoka ujinga kuhusu mfumo wa kiliberali. Ni jinga fulani. Linapaswa kurudi shule. PhD zingine ni za kama za kina Mahera. Takataka.Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama, endapo PM anazodolewa hadharani!? Anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.