Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer

View: https://m.youtube.com/watch?v=FI2RG25sVzk

Patrick Nhigula host of America Swahili News in depth conversation with his guest Robert Amsterdam who is an Advocacy and International Lawyer @ 29 September 2024

Covering :
  • On Tundu Lissu appointing Robert Amsterdam as his attorney
  • Court hearing in London, which depicts that the Tanzanian govt was involved in state sponsored unlawful activities
  • Unsolved 2017 assassination attempt
  • We expect the Tanzanian govt will take a proper action following the new information coming from London
  • The Samia Suluhu Hassan administration
  • The cancer of impunity in Tanzania
  • Violence against political opponents, the recent killing of Ali Mohamed Kibao a senior CHADEMA party official
  • Commonwealth should expel Tanzania membership
  • International community should get involved closely with what is happening in Tanzania political space
  • Breach of Harare agreement
  • Reconciliation, Reforms, Resilience and Rebuilding under abbreviations the 4R are a camouflage
  • One party dominance
  • Coming local elections 2024 and the General election 2025
  • Etc
 
Wewe (based on your summary) na huyo Dr. Nhigula, based on your bias summary. Level zenu za utahiira zinafanana.

Hata huyo chawa wa Lissu (Amsterdam) kuna leading questions alizokuwa anauliza alikuwa anaona hawezi ku-commit on their next move.

Mimi ushauri wangu kwa Lissu. Ningekuwa Magufuli ningefanya alichofanya kwa tabia zake kipindi kiłę.

Huyo Dr Nhigula, amekazana na TIGO kila saa, Amsterdam kila saa anamkumbusha kesi ni ya Millicom.

Amsterdam anaendelea kumkumbusha mpaka sasa hawana jurisdiction ya kufungua zaidi ya kujaribu kutumia ‘Harare Declaration’ ambayo uwezi shitaki mtu bali nchi na kuishia kuondolewa common wealth.

Binafsi nimeshaonywa na watu humu kuacha personal conclusion zisizo na ushahidi, I take that abroad. Ila Lissu inabidi ajitafakari zama hizi za kufumbiana macho, maana dhambi alizofanya leo anapumua ni kwa baraka za mungu tu (ingekuwa, mimi ni gęga ya kiłę kiłę alichofanya Magufuli).

Nchi haiwezi vumilia watu wa aina yake.
 
Duh...!.
P
 
Unamvumilia kwa kipi alichokufanya? Mtu anayepambania nchi yake ndiye huyo ambaye unasema hauwezi kumvumilia? Ncyie watu mna shida kubwa sana mahala

Halafu hiyo summary unayoishambulia mbona ameainisha tu mambo yaliyozungumzwa, wala siyo maini yake binafsi. Unawezaje kumshambulia kwamba ametoa bias summary? Au mwenzetu unajibu uzi mwingine ila umekosea na ku post huku?

Ukirudi kwa wazungumzaji, unachokilalamikia hakiendani kabisa na kilichozungumzwa, hii inaonyesha ulipoona Robert Amsterdam na Lissu wala haukujisumbua kusikiliza ukakimbilia ku comment. Sijaona popote ambapo umegusia kilichojadiliwa
 
Wewe (based on your summary) na huyo Dr. Nhigula, based on your bias summary. Level zenu za utahiira zinafanana.

Hata huyo chawa wa Lissu (Amsterdam) kuna leading questions alizokuwa anauliza alikuwa anaona hawezi ku-commit on their next move.

Mimi ushauri wangu kwa Lissu. Ningekuwa Magufuli ningefanya alichofanya kwa tabia zake kipindi kiłę.

Huyo Dr Nhigula, amekazana na TIGO kila saa, Amsterdam kila saa anamkumbusha kesi ni ya Millicom.

Amsterdam anaendelea kumkumbusha mpaka sasa hawana jurisdiction ya kufungua zaidi ya kujaribu kutumia ‘Harare Declaration’ ambayo uwezi shitaki mtu bali nchi na kuishia kuondolewa common wealth.

Binafsi nimeshaonywa na watu humu kuacha personal conclusion zisizo na ushahidi, I take that abroad. Ila Lissu inabidi ajitafakari zama hizi za kufumbiana macho, maana dhambi alizofanya leo anapumua ni kwa baraka za mungu tu (ingekuwa, mimi ni gęga ya kiłę kiłę alichofanya Magufuli).

Nchi haiwezi vumilia watu wa aina yake.
Nieleze uongo wa kila swali pale ama toa majibu yenye facts kupinga yote yanayosemwa.

Mezoea kuongea kamasi mbele ya Watanzania kisha mnapigiwa makofi. Subirini mtakapopigwa ban hata ya kusafiri na passports zenu zitaishia chumve
 
Duh...!.
P
Kiongozi; wewe ni mwanasheria, mwandishi wa habari na mwalimu wetu wa mambo kadhaa jukwaa la siasa.

Sikiliza hiyo interview uone hizo leading question alizokuwa anaulizwa Amsterdam.

Pamoja na unafiki wake Amsterdam yeye mwenyewe on legal matters alikuwa anaogopa kutoa specific answer kama muulizaji alivyokuwa anataka majibu.

Ifike wakati tuwe wakweli.

US shida yao kwa Trump ni national security matters.

U.K. walikuwa wanabadili ma PM kwa sababu ya national security matters.

Sasa national security inaweza kuwa ulinzi, uchumi, rasimali etc.

Kipindi kile Lissu alikuwa tatizo
 
Tają swali ambalo unadhani lina merit na kuonyeshe uzushi ulipo. Otherwise siwezi ongea kwa upande mmoja based on simple requirements as that.
 
:FIRE: 🅻🅸🆅🅴 : Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer

View: https://m.youtube.com/watch?v=FI2RG25sVzk

Patrick Nhigula host of America Swahili News in depth conversation with his guest Robert Amsterdam who is an Advocacy and International Lawyer @ 29 September 2024

Covering :
  • On Tundu Lissu appointing Robert Amsterdam as his attorney
  • Court hearing in London, which depicts that the Tanzanian govt was involved in state sponsored unlawful activities
  • Unsolved 2017 assassination attempt
  • We expect the Tanzanian govt will take a proper action following the new information coming from London
  • The Samia Suluhu Hassan administration
  • The cancer of impunity in Tanzania
  • Violence against political opponents, the recent killing of Ali Mohamed Kibao a senior CHADEMA party official
  • Commonwealth should expel Tanzania membership
  • International community should get involved closely with what is happening in Tanzania political space
  • Breach of Harare agreement
  • Reconciliation, Reforms, Resilience and Rebuilding under abbreviations the 4R are a camouflage
  • One party dominance
  • Coming local elections 2024 and the General election 2025
  • Etc

We once said

Lissu is a traitor to the naion
 
Kiongozi; wewe ni mwanasheria, mwandishi wa habari na mwalimu wetu wa mambo kadhaa jukwaa la siasa.

Sikiliza hiyo interview uone hizo leading question alizokuwa anaulizwa Amsterdam.

Pamoja na unafiki wake Amsterdam yeye mwenyewe on legal matters alikuwa anaogopa kutoa specific answer kama muulizaji alivyokuwa anataka majibu.

Ifike wakati tuwe wakweli.

US shida yao kwa Trump ni national security matters.

U.K. walikuwa wanabadili ma PM kwa sababu ya national security matters.

Sasa national security inaweza kuwa ulinzi, uchumi, rasimali etc.

Kipindi kile Lissu alikuwa tatizo
Huyu bibi wenu mtoeni basi si anauza Rasilimali zetu zote kwa faida zake? Mbona ninyi mnaojidai majoka (ovyo kabisa) mnamtetea badala ya kumfukuza kwa Kiti?
 
Awali ya yote, kwa shingo upande, nakubaliana na Stardam.

Hiyo haina maana namshobokea huyu beberu.

Hatahivyo...

Tanzania ijiondoe tu kutoka hii Jumuiya ya Madola.

Wanaofaidika na Jumuiya hii ya Madola ni Familia ya Mfalme wa Uingereza.

Mwacheni aturahisishie mchakato wa kujiondoa Commonwealth, where the wealth is so uncommon.

Ngoja nirudi kwenye Interview.
 
Thank you
 
Prima facie👇🏿
Tujiondoe kwenye Jumuiya ya Madola.

Mfalme wa Uingereza kama mkuu wa Jumuiya hiyo ni lazima atupatie ridhaa pamoja na Nchi zote za Jumuiya kuafiki.

....kitaeleweka

Tungo'ke Jumuiya ya Madola.

Katiba itakuja Kirahisi.

Mbatizaji....All the Above.

Aluta Continua

Nitawaadithia wajukuu zangu kuhusu wale ninaowaita vibaraka wa mabeberu, kwa sababu huo ndio Ukweli. Kuwemo ndani ya Jumuiya ya Madola ni kukubali Udhalimu wa Ufalme wa Kingereza pamoja na Ukoloni mamboleo unaotoka ndani ya dhamira kuu ya Jumuiya hiyo.....ni karaaaha.
Kwenda kuwakilisha au kuuwakilisha ni kujidharau.l na Kujidhalilisha.

Naamini tukijiondoa kutoka katika Jumuiya hii itakuwa rahisi kuendelea na Mchakato wa kupata Katiba yetu iliyo huru.

He is not My King.

Basi utuambie maana halisi ya Jumuiya ya Madola. Na ni nani mwenye madaraka ya Nchi zilizomo ndani ya Jumuiya hiyo? Je, katika Nchi hizo zinaweza kufanya maamuzi: kama kupata Katiba mpya bila ridhaa ya Jumuiya? Nani Mkuu wa Jumuiya?
He is not my King.
Tung'oke tu huko. Kuwepo kwetu ni kwa mkakati wa Kibeberu wa Uingereza. In short it is Just an agreement that UK will bolster our Security[Social-political &Social economic] and Governance from other imperialistic Countries and or Nations! In other words Ati ndio kana chombo cha kutesemea(advocacy group) dhidi ya mataifa mengine yenye nguvu kuliko sie, chini ya mwamvuli wa "Supremacy" ya Mfalme! aidha kwenye Umoja wa Mataifa au Kwingine pale. Yaani ni kujisimika kuwa sie ni "Wanyonge"

Tuwe wakweli na kuangalia ni nini haswa kilichopeleka kuanzishwa kwa Umoja huu na kutizama kwa undani kama kweli Tija zilizoorodheshwa haziwezi kupatikana nje ya Umoja huo - Ukiondoa Ubeberu wa Mwingereza na Rasilimali zetu-kuna sababu gani nyingine ya Sisi kuwemo humo?

Na ujibu, Je, tunaweza pata Katiba mpya bila ya Ridhaa ya Mfalme ambaye ndie Mkuu na mwenye madaraka ya Umoja huo?

Asante
Ukibofya nukuu zangu zitakupeleka kwenye Nyuzi nilizokuwa nashauri....Tung'oke.

Wao waliondoka EU na brexit.

Na sisi tungo'ke huko.
 
Kiongozi; wewe ni mwanasheria, mwandishi wa habari na mwalimu wetu wa mambo kadhaa jukwaa la siasa.

Sikiliza hiyo interview uone hizo leading question alizokuwa anaulizwa Amsterdam.

Pamoja na unafiki wake Amsterdam yeye mwenyewe on legal matters alikuwa anaogopa kutoa specific answer kama muulizaji alivyokuwa anataka majibu.

Ifike wakati tuwe wakweli.

US shida yao kwa Trump ni national security matters.

U.K. walikuwa wanabadili ma PM kwa sababu ya national security matters.

Sasa national security inaweza kuwa ulinzi, uchumi, rasimali etc.

Kipindi kile Lissu alikuwa tatizo
Comments reserved
 
Comments reserved
🙏

Would love to hear your opinion on the matter.

Let’s not keep entertaining the culture of fear based on certain people social status.

Watu wa hovyo ni hovyo tu, ili ndio jukumu letu kwa vijana wa kesho.

Kama siko sahihi, ‘bash it out’ hii culture yetu ya kuoneana aibu kwenye hoja ndio maana tuko hapa.

Mimi napęnda kukosolewa ili nitete hoja yangu. Sio lazima nishinde; kama siko sawa najifunza sijashindwa.
 
Back
Top Bottom