Sasa kiongozi uoni kama ni tatizo.
Maana una akili ambayo imeshaamua wapinzani wanaonewa bila ya kutaka kupima merit ya arguments who is right or wrong,
Hapo unanutuhumu kwa makosa ambayo sistahili.
Unapomsoma mtu sio lazima ukubaliane nae, Iła mpinge kwa hoja kwanini hayuko sahihi.
Walau huo ndio mwanzo, ukiona jitu lenyewe alielekei kwa merit (na wewe kama kweli upo analytical) kwenye arguments zake. Baada ya hapo kulibeza haki yako.
Sasa kunishutumu mimi ni shaabiki maandazi bila kuonyesha mapungufu yangu ya hoja kwa mtazamo wako uoni huko ni uwanja wa watu wasio na uwezo.
Hoja za siasa hazina mjuzi, zina merit tu; na muungwana anakubali. Na wakati mwingine kukubaliana kuwa amto kubaliana kutokana na mitazamo yenu. Hakuna sababu ya kutukanana na mkitoka hapo sijui Iła kwa upande wangu nakua nimejufunzq kitu.