tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Hell of your butts, boobs or ass?Go to hell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hell of your butts, boobs or ass?Go to hell
Wewe na Lissu mwende faraga na AmsterdamHell of your butts, boobs or ass?
AND HE REMAIN A TRAITORWe once said
Lissu is a traitor to the naion
Mkuu hapa hakuna kitu- ni kuchafuana tuNieleze uongo wa kila swali pale ama toa majibu yenye facts kupinga yote yanayosemwa.
Mezoea kuongea kamasi mbele ya Watanzania kisha mnapigiwa makofi. Subirini mtakapopigwa ban hata ya kusafiri na passports zenu zitaishia chumve
Wewe kwa akili yako unaweza kuiondoa serikali ya Tanzania kwa kwenda UN? COMMONWEALTH? AU?
Umeisikiliza hiyo clip? Kaisikilize kisha uje tujadilianeKwani ndo msingi wa hoja hii??
Hili ni dai lako jipya tena. Sielewi kwanini tunazalisha mambo mapya kabla ya yale ya msingi. Suala la msingi ni haki ya msingi ya kuishi kwa mtu. Mengine ni matokeo ya yatokanayo na hilo. Kuna mtu ameenda UN vs Commonwealth au AU?
Umeisikiliza hiyo clip? Kaisikilize kisha uje tujadiliane
Kwani ni mara ya kwanza Lissu kuwa traitor au Amsterdam ni mgeni Tanzania?Nieleze uongo wa kila swali pale ama toa majibu yenye facts kupinga yote yanayosemwa.
Mezoea kuongea kamasi mbele ya Watanzania kisha mnapigiwa makofi. Subirini mtakapopigwa ban hata ya kusafiri na passports zenu zitaishia chumve
Nchi inaendeshwaje?Kuvunja Zimbabwe decralation siyo msingi mkuu wa issue. Hiyo imeongelewa kwenye mjumuiko wa uendeshaji wa nchi na yanayotokea. Kama hayo yanatokea yatakuwa sababu yenyewe kujisimamia na si mshitaki kuiondoa bali kuondolewa kwa kwenda kinyume na mazimio. Hii iko mikononi mwa jumuiya zenyewe kupima kiasi cha matatizo. Je hili linazuia jambo la kwanza la haki ya mtu kuishi kutokukuheshimiwa kwa mujibu wa mjadala?
Mkuu ombi langu lilikuwa ukaiskilize hiyo clip; nilichotegemea ni jibu kuwa umeisikiliza au hapana basiKuvunja Zimbabwe decralation siyo msingi mkuu wa issue. Hiyo imeongelewa kwenye mjumuiko wa uendeshaji wa nchi na yanayotokea. Kama hayo yanatokea yatakuwa sababu yenyewe kujisimamia na si mshitaki kuiondoa bali kuondolewa kwa kwenda kinyume na mazimio. Hii iko mikononi mwa jumuiya zenyewe kupima kiasi cha matatizo. Je hili linazuia jambo la kwanza la haki ya mtu kuishi kutokukuheshimiwa kwa mujibu wa mjadala?
Wewe (based on your summary) na huyo Dr. Nhigula, based on your bias summary. Level zenu za utahiira zinafanana.
Hata huyo chawa wa Lissu (Amsterdam) kuna leading questions alizokuwa anauliza alikuwa anaona hawezi ku-commit on their next move.
Mimi ushauri wangu kwa Lissu. Ningekuwa Magufuli ningefanya alichofanya kwa tabia zake kipindi kiłę.
Huyo Dr Nhigula, amekazana na TIGO kila saa, Amsterdam kila saa anamkumbusha kesi ni ya Millicom.
Amsterdam anaendelea kumkumbusha mpaka sasa hawana jurisdiction ya kufungua zaidi ya kujaribu kutumia ‘Harare Declaration’ ambayo uwezi shitaki mtu bali nchi na kuishia kuondolewa common wealth.
Binafsi nimeshaonywa na watu humu kuacha personal conclusion zisizo na ushahidi, I take that abroad. Ila Lissu inabidi ajitafakari zama hizi za kufumbiana macho, maana dhambi alizofanya leo anapumua ni kwa baraka za mungu tu (ingekuwa, mimi ni gęga ya kiłę kiłę alichofanya Magufuli).
Nchi haiwezi vumilia watu wa aina yake.
Ndivyo serikali ya kidikteta na watetezi wa wauaji na wauaji wenyewe wanavyopenda ifahamike ulivyosema.Mkuu hapa hakuna kitu- ni kuchafuana tu
Hiyo kauli aliiongea shujaa jiwe. Na utuambie hapa Amsterdam na Lissu wanamiliki vikosi na silaha aina gani.Kwani ni mara ya kwanza Lissu kuwa traitor au Amsterdam ni mgeni Tanzania?
Mbona unajilipua sana these days?
Kuna vitu unachanganya , sasa sababu sijui nini. Kwa UK au US , ni kwamba mgombea au aliye madarakani , kushindwa kutimiza malengo ya walio mchagua , na hiyo inawezekana kutokana na demokrasia walio nayo iwe wakati wa uchaguzi mkuu au iwe Bungeni na kwenye Vyama husika. Na zaidi ya hapo , vyombo vyako vya Dola vipo huru, kwamba Kiongozi iwe Raisi kwa US au Waziri Mkuu anaweza kuhojiwa na matokeo kutolewa ya ama aendele au achukuliwe hatua za kuondolea, ikiwa yeye mwenyewe atashindwa kuwajibikaUS shida yao kwa Trump ni national security matters.
U.K. walikuwa wanabadili ma PM kwa sababu ya national security matters
Kwani hiyo chanjo ndio muarobaini wa COVIDNatakiwa nijibu nini hapo In justification “mimi ni muuaji’ au ‘hoja yako ya mama’.
Mimi sifichi na wala sioni aibu kusema kwa kanuni za kuendesha nchi, sio kwa kupenda Iła kwa uchokozi wa Lissu kipinde kiłę ningeamuru achwapwe risasi. That’s just how nations are managed.
Sasa uwezi kuelezea kila kitu kwa watu wasio elewa.
Kwa mimi binafsi na wala sijali maamuzi ya Magufuli au alimtuma nani, nisingemuacha Lissu; uwezi kuleta mdomo kwa maswala ya kitaifa.
Na Lissu anisome ningekuwa raisi hata mimi ile ndio ingekuwa amri yangu.
Similarly ningekuwa head wa usalama pamoja na kumkubali Magufuli, kwa kuzuia chanjo za COVID ningesema (inauma ila atoke) kwa kipindi kiłe (jitu alitaki chanjo kwa imani zake) what more can you do.
Kuna nafasi maamuzi yake inabidi ufanye kwa faida ya wengi.
Hayo mambo ambayo Lisu alikuwa akishirikiana na watu wa nje kuihujumu taifa, chanzo chake ilikuwa ni mikataba iliyosainiwa na wa Tanzania wenzetu. Kutatua tatizo hilo au hayo , ni kuwaiti kwenye ofisi za serikali na mafaili yenye mikataba mibovu , kutayarisha orodha ya vifungu vibovu, ukiisha maliza nao unamwita mwekezaji na kumuomba kurekebisha hivyo vifungu kwani vimefanyika kwa njia ya rushwa, wakati huo hao watanzania wenzetu wameisha jieleza huo ujinga waliofanya kwa "faida" gani na ushaidi wa account zao unao.Natakiwa nijibu nini hapo In justification “mimi ni muuaji’ au ‘hoja yako ya mama’.
Mimi sifichi na wala sioni aibu kusema kwa kanuni za kuendesha nchi, sio kwa kupenda Iła kwa uchokozi wa Lissu kipinde kiłę ningeamuru achwapwe risasi. That’s just how nations are managed.
Sasa uwezi kuelezea kila kitu kwa watu wasio elewa.
Kwa mimi binafsi na wala sijali maamuzi ya Magufuli au alimtuma nani, nisingemuacha Lissu; uwezi kuleta mdomo kwa maswala ya kitaifa.
Na Lissu anisome ningekuwa raisi hata mimi ile ndio ingekuwa amri yangu.
Similarly ningekuwa head wa usalama pamoja na kumkubali Magufuli, kwa kuzuia chanjo za COVID ningesema (inauma ila atoke) kwa kipindi kiłe (jitu alitaki chanjo kwa imani zake) what more can you do.
Kuna nafasi maamuzi yake inabidi ufanye kwa faida ya wengi.
Kwa hiyo na wewe ungempiga risasi Lissu?Wewe (based on your summary) na huyo Dr. Nhigula, based on your bias summary. Level zenu za utahiira zinafanana.
Hata huyo chawa wa Lissu (Amsterdam) kuna leading questions alizokuwa anauliza alikuwa anaona hawezi ku-commit on their next move.
Mimi ushauri wangu kwa Lissu. Ningekuwa Magufuli ningefanya alichofanya kwa tabia zake kipindi kiłę.
Huyo Dr Nhigula, amekazana na TIGO kila saa, Amsterdam kila saa anamkumbusha kesi ni ya Millicom.
Amsterdam anaendelea kumkumbusha mpaka sasa hawana jurisdiction ya kufungua zaidi ya kujaribu kutumia ‘Harare Declaration’ ambayo uwezi shitaki mtu bali nchi na kuishia kuondolewa common wealth.
Binafsi nimeshaonywa na watu humu kuacha personal conclusion zisizo na ushahidi, I take that abroad. Ila Lissu inabidi ajitafakari zama hizi za kufumbiana macho, maana dhambi alizofanya leo anapumua ni kwa baraka za mungu tu (ingekuwa, mimi ni gęga ya kiłę kiłę alichofanya Magufuli).
Nchi haiwezi vumilia watu wa aina yake.
Tunamlaumu Magufuli kumbe wapenda uuaji wako wengi.Natakiwa nijibu nini hapo In justification “mimi ni muuaji’ au ‘hoja yako ya mama’.
Mimi sifichi na wala sioni aibu kusema kwa kanuni za kuendesha nchi, sio kwa kupenda Iła kwa uchokozi wa Lissu kipinde kiłę ningeamuru achwapwe risasi. That’s just how nations are managed.
Sasa uwezi kuelezea kila kitu kwa watu wasio elewa.
Kwa mimi binafsi na wala sijali maamuzi ya Magufuli au alimtuma nani, nisingemuacha Lissu; uwezi kuleta mdomo kwa maswala ya kitaifa.
Na Lissu anisome ningekuwa raisi hata mimi ile ndio ingekuwa amri yangu.
Similarly ningekuwa head wa usalama pamoja na kumkubali Magufuli, kwa kuzuia chanjo za COVID ningesema (inauma ila atoke) kwa kipindi kiłe (jitu alitaki chanjo kwa imani zake) what more can you do.
Kuna nafasi maamuzi yake inabidi ufanye kwa faida ya wengi.
Hayo mambo ambayo Lisu alikuwa akishirikiana na watu wa nje kuihujumu taifa, chanzo chake ilikuwa ni mikataba iliyosainiwa na wa Tanzania wenzetu. Kutatua tatizo hilo au hayo , ni kuwaiti kwenye ofisi za serikali na mafaili yenye mikataba mibovu , kutayarisha orodha ya vifungu vibovu, ukiisha maliza nao unamwita mwekezaji na kumuomba kurekebisha hivyo vifungu kwani vimefanyika kwa njia ya rushwa, wakati huo hao watanzania wenzetu wameisha jieleza huo ujinga waliofanya kwa "faida" gani na ushaidi wa account zao unao.
Kwa hiyo hapa haikuwa na haja ya kumshughulikia Lisu , wakati wa hujumu wapo serikalini na kwenye ccm.