Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
YEHODAYA, Jamaa hapo juu kakuhoji swali lenye mantiki kabisa - labda niongezee kidogo kwa kukusaidia: Fanya tafiti kuhusu dini ya kiislaam na Jumuhia zake wakati wa koloni pamoja na umoja wao na ujasiri walio kuwa nao katika kupinga udhalimu wa kikoloni bila woga - ndio waanzilishi wa chama kupigania Uhuru wa Tanganyika lakini for some strange reasons hilo huwa alisemwi , likisemwa ni kijuu juu tu as if Muslims contribution katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika was insignificant!!are u Muslim? Nani kaisikia hiyo
Nguvu na umoja wa Waislaam uliteteleka baada ya kuundwa kwa BAKWATA kutokana na shinikizo la kutaka kuwa-contain nguvu za kiislaam Nchini, hayo nilisimuliwa na ndugu yangu wa karibu aliye kuwa kwenye harakati hizo kuanzia kwenye 1940s mpaka 1967 - majority hawakuunga mkono kuvunjwa kwa jumuhia yao na kuanzishwa kwa BAKWATA, ninacho taka kusema hapa MTU kama Sheikh Ponda sio wa kuchukulia POA hata kidogo, wengi wanao jaribu kumponda na kumukejeri ni wanafiki tu na kutaka kujipendekeza lakini deep down wanajua ushawishi alio nao Ponda.