Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Wewe hujui siasa za tz,! Ndio maana ccm itaendelea kutawala.

Lisu sijui hana washauri, kaenda Zanzibar alafu anatamka eti sisi chadema hatuna maslahi na Zanzibar. Kiufupi Lisu hajui siasa ya tz ili uungwe mkono wakupe urais unapaswa kuwaje.
Lisu mjinga halafu hajui hajui kutafuta kura na hajielewi.Hevu fikiria yeye ni.mgombea wa uraisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hivi kura za wapenda muungano si atazikosa mchana kweupe jua linawaka tarehe 28 October

Muungano hautaki sasa uraisi wa muungano aligombea wa mini

Mimi na wapenda muungano hatutampa kura sababu una manufaa kwangu na wako wazanzibari kibao wanafaidi bars kama wafanyabiashara ,wafanyakazi sekta ya umma na binafsi bara ,wanamiliki ardhi na uvuvi nk wabara wanauza vyakula Zanzibar wanafanya biashara na Zanzibar tutamuonyesha cha mtema kuni Lisu anataka kutupa kitumbua chetu kwenye mchanga

Azam mpemba katajirikia bara sababu ya muungano halafu eti Lisu mpinga muungano anasema oohh Azam TV hawarushi hewani mikutano yangu!!!! Unataka kuharibu business za watu kwa kuvunja muungano halafu unataka wakuchekee na kukurusha hewani kisa umeungana na akina seif wanasiasa ambao hawajawahi uza hata kifaranga kwenye muungano wao huishi tu kwa porojo za midomoni za kisiasa
 
Reactions: len
Unajidanganya Lisu anao wafuasi wengi kuliko unavyofikiri,naatashinda huu uchaguzi japo mtamtangaza kwa mbinde
 
Sasa kama huelewi madhara ya Ponda kupanda jukwaani kwa Lisu na kusema waislamu wampe kura Lisu basi subiri naada ya jumatano ujionee kimbunga
La kwenu limevaa kanzu Dodoma linajaribu kusawazisha kwa kuzindua msikiti lkn ameshachelewa ponda kashamnyea
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu wa CCM kwa wapinzani ndipo CCM huwageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Anaekamilisha ratiba ni magufuli anaejiandaa kustaafu mwishoni mwa wiki hii na kurudi kijijini kwake Chato!
Huo ni ukweli tarehe 28 Nchi unaenda kupata uhuru upya na ndipo utawala wa haki utaingia ikulu na kurejesha Amani ya Tanzania ambayo ilitoweka ndani ya miaka mitano
 
Mbona hamjadili kupigwa risasi na hakuna uchunguzi wowote,mbona hamsemi
 
Chadema wasipojitathmini wanaelekea kuwa kikundi cha kigaidi
 
Ununuzi wa Ndege una ufisadi mkubwa wa kutisha mno, kuna 10% za wajanja wachache na bei halisi ya Ndege ni tofauti na bei wanayoisema wao, hiyo mifano yako kwenye Dini kwenye utakatifu ni mifano ya kibwege ni mifano ya mtu aliyefirisika kifikira
 
Kwani wale mercenaries wa Kirundi na kinyarwanda waliokodiwa wanalipwa na nan.. Mzungu akiwa na mafisiem n mdau wa maendeleo lkn akiwa na wengine Beberu
Lisu yeye mabilioni ya kumpa Amsterdam atayatoa wapi?

Hivi kila mgombea akiweka mtu wake kutoka nje awe anampigania patakuwa na taifa tena?

Lisu kashafeli
 
Kwaiyo Ponda atakua Waziri wa waislamu au?
 
Mufti, sheikh wa dar na pengo ndio watakaomuangusha dikteta Magufuli
 
Propaganda za kijinga kabisa. Mbona hamsemi ushirikiano uliopo kati ya ccm na kile chama cha kisoshalisti cha china ? Mbona hamsemi yale mafunzo ambayo ccm inapeleka vijana kufunzwa na hicho chama cha china ?
 
Hata mkikataa kujadili ukweli unabakia kuwa pale pale, tano tena kwa Magu!
Kumbuka hakuna sheria ya kukutaka kuwa mwerevu, ukiamua kuwa mjinga basi ni maamuzi yako na wala hakuna wa kukuingilia, je wajua kuwa hata Rungwe/Lupumba anawafuasi pamoja na....,Niishie hapa tu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Wanamharibia, wewe ndiyo unayemsaidia?

Kama wewe hutaki afanikiwe sasa inahitaji kuwa wanamharibia? Si kwa upande ulioko ni kuwa wanasamdia ili upate unachotaka?

Badilikeni. Watanzania wa leo si hao tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…