Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Heri mzungu kuliko mkoloni mweusi.
Mnajishusha thamani sana... anyway baada ya wiki moja kupita tutarudi humu kuongelea sherehe ya kuapishwa JPM baada ya hapo mtarudi kuongelea flani na flani hawafai kwenye baraza la mawaziri
 
Tundu lisu hamjui ponda, ponda hatalidhika na uongozi wa Lisu hata siku moja, na baada ya kuitoa CCM ponda ataanza kumtoa Lisu na ndio atajuta kumjua ponda na ajenda zake.
Mbona fresh tu, sisi wengine tunaipenda Tanganyika kuliko tunavyompenda mtu, be it, Magu or Lissu. Ndio maana tunatamani Lissu ashinde na akishinda atupe katiba mpya itakayotusaidia kuwagonga nyundo wote akiwemo na yeye. Sisi wengine tumeolewa na Tanganyika kazi kwenu mlioolewa na Magu.
 
Mnajishusha thamani sana... anyway baada ya wiki moja kupita tutarudi humu kuongelea sherehe ya kuapishwa JPM baada ya hapo mtarudi kuongelea flani na flani hawafai kwenye baraza la mawaziri
Ndio hivo mzungu utajua kweli huyu nimkolon, kuliko hawa pimbi tunaowazid maarifa na wanalazimisha wabaki madarakni kwa nguvu ya dola tutapambana nao awamu hii.
 
Ndio hivo mzungu utajua kweli huyu nimkolon, kuliko hawa pimbi tunaowazid maarifa na wanalazimisha wabaki madarakni kwa nguvu ya dola tutapambana nao awamu hii.
Kwa kura zipi, kaskizini ngome imewatema, yani labda singida nyumbani kwa Lissu na Mkoa wa Mara kidogo ila kwingine mna kaI kweli kweli
 
Wewe kumbe ni CCM ?
 
CCM tayari ni magaidi kitendo cha kwenda Dodoma kumpiga risasi ni ugaidi huo
Waliangusha kadi za CCM pale alipopigwa risasi?

Maajabu ya CCM risasi zinapigwa kutolea upande wa kushoto zinaenda kuingilia kutokea upande wa kulia...
 

Mmeishiwa hoja mmekamatika,Kama tumeshindwa kujiongoza hata kwa kufuata tu katiba tulizojiwekea kwann tusiombe msaada kwa jirani.

Matendo yenu mabaya dhidi ya watz 5 yrs ndio kitanzi chenu, wakati mnampiga Ponda na TL risasi mliwahi waza ya leo? Vuneni mlichopanda. Robert apigi kura.
 
Atanyongwa kama yule wa misri aliyefanya maandamano kisha alipoingia madalakani akabadili katiba ambayo ilikiwa msumali kwa wananchi, mwaka mmoja tu wakamtoa kwa maandamano na kunyongwa.
Sasa wewe mbinua kiuno unayetaka katiba mpya unajua ina maudhui gani au ndo yale ya ushoga ili muwe mnabinua viuno kwa uhuru na haki?
Tanzania bila ushoga inawezekana.
 
Hoja zote hizi ni mufulisi. Kuzijadili ni kupoteza muda.
Lakini jibu umelipata kutoka hizo hoja ulizoziita mufilisi. Jamaa kaambulia 12%, tena ana bahati sana, ilibidi apate 3.5% tu.
 
Vipi mkuu Ponda ana nguvu?
 
Vipi umejariu kulipitia hili andiko lako baada ya matokeo, kisha ukawaza nini ulimaanisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…