Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

Kama wamarekani watafungua mashtaka kwanini yasifuatiliwe hayo ni yao na sisi tuna yetu? Tanzania, Robati hakuja mwenyewe ,wahusika waliohisi wamedhulumiwa wamepeleka malalamiko na ushahidi wa kideo.

halafu naona mnafananisha tembo na panya.
 
Nashauri Lisu arudi tu maana jamaa zake ndio hao nao wanaharibu
Kile kitendo cha trump kulialia kaibiwa kura, na kitendo cha jana cha wafuasi wake kuvamia ukumbi wa bunge la marekani, zimetia doa sana kuke kujinasibu kama mababa wa demokrasia. Usishangae mike pompeo anaibuka na kukemea chaguzi za nchi zingine, huku kwako hata kukemea hiyo hali hakuna. udouble standard wakijinga sana huo. Better watu wasiwe wanaingilia mambo ya ndani ya nchi husika PERIOD
 
Tena hakuna nchi ya jijinga kana ile USA!

Kule kikinuka ile nchi itateketea maana kila mtu ana siraha.

Yani ukiwa rais wa MAREKANI inabidi ukubali hata kutiwa vidole maana raia wakitibuka nchi linabaki jivu
 
Kama wamarekani watafungua mashtaka kwanini yasifuatiliwe hayo ni yao na sisi tuna yetu? Tanzania, Robati hakuja mwenyewe ,wahusika waliohisi wamedhulumiwa wamepeleka malalamiko na ushahidi wa kideo.

halafu naona mnafananisha tembo na panya.
Kumbe wakitwaji mpo wengi!!
 
Jiulize,Africa inawezekana wafuasi wa Rais aliyeko madarakani waandamane kupinga matokeo na washughulikiwe?Hii inamaana moja kubwa sana,vyombo haviko kumtumikia mtawala!
Somo kubwa hapo la kujifunza,ila wenye akili finyu hawaoni the big picture!
 
Jiulize,Afrika inawezekana wafuasi wa Rais aliyeko madarakani waandamane kupinga matokeo na washughulikiwe?Hii inamaana moja kubwa sana,vyombo haviko kumtumikia mtawala!
Somo kubwa hapo la kujifunza,ila wenye akili finyu hawaoni the big picture!
 
Yaliyotokea Capitol Hill, sehemu ambayo nimefika, yanasikitisha.

Tukifikiri Wamarekani ni Superpower wa Demokrasia lakini hili tukio nimewadharau sana .

Now they have less and less moral right to point fingers at other countries.

Trump ni kama a Banana Republic Dictator anayetaka kubaki madarakani at all cost!
 
Duniani hakuna haki, wanaopigania haki duniani huishia kuumia wao wenyewe na uzuri Mungu alishaliweka wazi, tatizo watu tuna vichwa vigumu, alishasema Kama unataka haki fight kwenda mbinguni, duniani huku ni sarakasi mwanzo mwisho na hyo ipo approved na mbingu

Demokrasia isiyo na mipaka itawamaliza watu na hawataipata hapa duniani
 
Yaliyotokea Capitol Hill, sehemu ambayo nimefika, yanasikitisha.
Tukifikiri Wamarekani ni Superpower wa Demokrasia lakini hili tukio nimewadharau sana .
Now they have less and less moral right to point fingers at other countries.
Trump ni kama a Banana Republic Dictator anayetaka kubaki madarakani at all cost!
Taasisi ya kule itamwondoa tu si kama huku unaweza ukapingana na rais na ukatumia vyombo vya ulinzi na usalama kupambana na wapambe na wakereketwa wa Rais?
 
Yaliyotokea Capitol Hill, sehemu ambayo nimefika, yanasikitisha.
Tukifikiri Wamarekani ni Superpower wa Demokrasia lakini hili tukio nimewadharau sana .
Now they have less and less moral right to point fingers at other countries.
Trump ni kama a Banana Republic Dictator anayetaka kubaki madarakani at all cost!
Donald Trump si dikteta bali ni jambazi la kisiasa, off course is a businessman that sums up all.

Hii ni conspiracy ya kutaka kupindua matokeo yalokwishatoa mshindi ambae ni Joe Biden.

Demokrasia ya wamerekani ipo exposed in the open.

Trimp si dikteta anafahamu anachokifanya akiwa na genge lake lote wamo wa white house, vyombo vya ulinzi na usalama na makundi mengine mazito.

Bila kuisahau serikali kivuli au invincible government.
 
Yaliyotokea Capitol Hill, sehemu ambayo nimefika, yanasikitisha.
Tukifikiri Wamarekani ni Superpower wa Demokrasia lakini hili tukio nimewadharau sana .
Now they have less and less moral right to point fingers at other countries.
Trump ni kama a Banana Republic Dictator anayetaka kubaki madarakani at all cost!
It's a complete a disgrace for a country, which it position itself as role model for democratic leadership around the global. it failed to upheld democratic transition of power, that had led to the claim of 4 lives of people.

Mkuu, this is not a good sign for America empire both politically and economically, and it has created an avenue for its rivals such as China, Russia, you mention it to has something to say.

As it has been projected, by 2028, an Asian giant, China, will overtake America as a supper power. Kuna ukweli ndani yake mkuu, given the efforts, which Trump has been waged wars for his 4 years term in power against China companies and firms, hizi ni dalili mkuu.
 
Ila ndo hivi, kwisha habari yake mkuu, watu washachagua Joe Bideni. Trump ameshabook tour by Jan., 19, 2020 Scotland kwa ajili ya kucheza gofu.
 
Back
Top Bottom