Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

It's a complete a disgrace for a country, which it position itself as role model for democratic leadership around the global. it failed to upheld democratic transition of power, that had led to the claim of 4 lives of people. Mkuu, this is not a good sign for America empire both politically and economically, and it has created an avenue for its rivals such as China, Russia, you mention it to has something to say. As it has been projected, by 2028, an Asian giant, China, will overtake America as a supper power. Kuna ukweli ndani yake mkuu, given the efforts, which Trump has been waged wars for his 4 years term in power against China companies and firms, hizi ni dalili mkuu.
Mkuu you could be right.

But also without forgetting the reaction from Deep State.

They were not happy with Trump as an outsider with 74 million votes.

The good news is that the coup has failed.
 
Donald Trump si dikteta bali ni jambazi la kisiasa, off course is a businessman that sums up all.

Hii ni conspiracy ya kutaka kupindua matokeo yalokwishatoa mshindi ambae ni Joe Biden.

Demokrasia ya wamerekani ipo exposed in the open.

Trimp si dikteta anafahamu anachokifanya akiwa na genge lake lote wamo wa white house, vyombo vya ulinzi na usalama na makundi mengine mazito.

Bila kuisahau serikali kivuli au invincible government.
Ila ndo hivi, kwisha habari yake mkuu, watu washachagua Joe Bideni. Trump ameshabook tour by Jan., 19, 2020 Scotland kwa ajili ya kucheza gofu.
 
Jana wafuasi wa Trump walivamia bunge la marekani pale capitol hill wakasababisha mpaka wabunge wajifiche na ikapelekea watu wanne kufa.
Kwani kumetokea nini USA?
 
Jana wafuasi wa Trump walivamia bunge la marekani pale capitol hill wakasababisha mpaka wabunge wajifiche na ikapelekea watu wanne kufa.
Kwani kumetokea nini USA?
 
Jana wafuasi wa Trump walivamia bunge la marekani pale capitol hill wakasababisha mpaka wabunge wajifiche na ikapelekea watu wanne kufa.
Kwani kumetokea nini USA?
 
Kipimo cha demokrasia huwa ni kwa nchi za Afrika, Asia na Latin America tu kwingineko kama Marekani hata wakiua watu, wakiwaumiza na kuwaacha vilem wa kudumu hutosikia mbeha yeyote akibweka kulaani. WANAFIKI WAKUBWA HAO MABEBERU
 
Kipimo cha demokrasia huwa ni kwa nchi za Afrika, Asia na Latin America tu kwingineko kama Marekani hata wakiua watu, wakiwaumiza na kuwaacha vilem wa kudumu hutosikia mbeha yeyote akibweka kulaani. WANAFIKI WAKUBWA HAO MABEBERU
Yaani sasa yaeleweka wazi kwamba Donald Trump alijaribu kufanya mapinduzi kwa kuyahamasisha kwenda Capitol.

Tuna mengi ya kujifunza hapa.
 
Huku ukiendelea kushangaa hayo shangaa pia Rais aliyeko "madarakani kuhangaika na kugonga mwamba kwa juhudi zake za kupindua meza".Je ingekua Tanzania/Africa wamewahi ona Rais aliyeko madarakani anahangaika namna ya kutumia Vyombo vya Dola kuiba kura? Shangaa jinsi wenzetu walivyo na taasisi imara ndio maana wafuasi wa trump wanahangaika.Ingekua kwetu vyombo vya ulinzi na usalama vingekua vipo upande wa Trump.
 
huku ukiendelea kushangaa hayo shangaa pia Rais aliyeko "madarakani kuhangaika na kugonga mwamba kwa juhudi zake za kupindua meza".Je ingekua Tanzania/Africa wamewahi ona Rais aliyeko madarakani anahangaika namna ya kutumia Vyombo vya Dola kuiba kura? Shangaa jinsi wenzetu walivyo na taasisi imara ndio maana wafuasi wa trump wanahangaika.Ingekua kwetu vyombo vya ulinzi na usalama vingekua vipo upande wa Trump.
Ukisikia katiba mwiba ndiyo hiyo, chief, mkuru hawezi kufurukuta kwa lolote. Ila Trump ni mojawapo wa maraisi wa Marekani aliyepata shida sana kwenye uongozi wake, na kaondoka madarakani kwa aibu kubwa, huku akiitia doa demokrasia ya marekani
 
Trump katumia jeshi lipi sasa
Zimepangwa njama au kwa kiingereza "conspiracy" kujaribu kupindua matokeo na kumzuia Joe Biden asipitishwe na senate kuwa raisi halali.

Serikali kivuli yahusika.

Marekani na "full machinery" zake zote za kijasusi na usalama haiwezekani kusinuswe kaharufu ka hizo njama.

Sasa mengine hapo jiongeze kidogo.
 
Balozi wa Tanzania nchini Marekani hajatoa tamko lolote?
Hata mimi nashangaa,kwanza angeanza kuwatahadharisha Watanzania kuwa Marekani sio sehumu ya kwenda kwani si salama na pia waandamanaji hawavia vifunika pua na mdomo kwa hiyo kutakuwa na ongezeko kubwa la Covid Variant na mwisho angechimba mkwara kuwa tutasitisha misaada kwa Marekani....😡😡😡
 
Tofauti yetu na wenzetu ni kwamba wao wanasimamia haki na viapo vyao vya kulinda na kuitetea katiba. Hakuna kinachofanyika ambacho ni kinyume cha waziwazi na katiba. Rais hatoi amri zianazopingana na katiba ama sheria zikatekekelezwa. Tutathmini hali ya hapa kwetu ikoje?
 
Jiulize,Africa inawezekana wafuasi wa Rais aliyeko madarakani waandamane kupinga matokeo na washughulikiwe?Hii inamaana moja kubwa sana,vyombo haviko kumtumikia mtawala!
Somo kubwa hapo la kujifunza,ila wenye akili finyu hawaoni the big picture!
Hawako kumtumikia au hana hizo power za kufanya jeshi limtumikie.
 
Trump alitaka kuiba chaguzi kama huyu anayejiita mwendawazimu je kafanikiwa? Acheni kufananisha Marekani na Nchi za madikteta.
 
Tofauti yetu na wenzetu ni kwamba wao wanasimamia haki na viapo vyao vya kulinda na kuitetea katiba. Hakuna kinachofanyika ambacho ni kinyume cha waziwazi na katiba. Rais hatoi amri zianazopingana na katiba ama sheria zikatekekelezwa. Tutathmini hali ya hapa kwetu ikoje?
Sisi tupo poa kabisa. Watanzania ni wanademokrasia mahiri ukishindwa sote tunakupotezea tu.
Tundu Lissu alitangaza maandamano yasiyo na kikomo hata akina Salary wakampotezea.
 
Unachelewa wewe ni kuwa,ukiiba na mwenzio naye akaiba,basi ukishtakiwa peke yako unakuwa hujaiba,mpaka na mwizi mwenzio naye ashtakiwe.
Kwa maana rahisi ni kwamba:Unakamatwa na kosa halafu unajitetea kwa kumtaja mkosaji mwenzio?!!!

Hahahahaha........Hajui kuwa huenda Kuna wanaharakati wameshalaani na kuandaa mashtaka kwa wahusika wa makosa hayo,huko USA?
 
Back
Top Bottom