Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wabariki WazunguHii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Vp kuhusu zile za mauaji ya Akwilina Akwilin zilizofanywa na Polisi kisha kesi kupewa wengine, kwako ni kujenga Nchi siyo??Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Hii ni mara ya ngapi sasa ana file? Maana alishasema siku nyingi tu kuwa alisha file ICC. Hata Fatuma Karume alishasema ame file. Maria Sarungi naye kisha file. Waendelee ku file. Sisi ni sovereign country, haiwezi kushitakiwa na vigaragosi vya aina ya Fatuma Karume na vishoga vya aina ya Amsterdam na huyo mkimbizi. Amerika, China na nchi nyingi tu za ulaya si wanachama wa hiyo ICC. Sisi tuko huko at our plessure only, wakati wo wote tukipenda tunajitoa kama Kenya ilivyofanya walipoleta vigisu vigisu kumhusu rais wao Uhuru Kenyata.Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Bila shaka wewe ni NYUMBU WA UFIPA! Ahahhaahahahah!
Yeah! Kama ilivyompenya Lissu hadi akaikimbia nchi aliyotaka kuwa Rais wake! Ahahahahahahahah!!!Sindano imepenya kunako
Yeah! Kama ilivyompenya Lissu hadi akaikimbia nchi aliyotaka kuwa Rais wake! Ahahahahahahahah!!!
Ha ha ha haaaaaaSindano imepenya kunako
Mtume mkeo aje anitembelee kisha uone atakavyokuwa anatabasamu kila atakavyokuwa anakusimulia kuhusu "mambo ya Mamdogo"! Tena na Sikukuu hii! Ahahahahahaha!!!Vp mamdogo mbna unarukaruka hueleweki unataka nn???umekuwa zumbukuku waaheed
Unafikiri samaki atakamatwa kwa ndoano bila chambo ?Ha ha ha ha! Bado anaota huyo! Mkumbushe pia Eu washadonet tayari
Zanzimana Jiwe hata umpe miaka Mia Hana chochote anachoweza kufanya zaidi kuumiza , kuharibu ,kudhuru ,fukuza, tengua, teua , lakini maendeleo ni ziro .Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Ukweli uliopo ni ccm kuiba kuraUtaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Hizo kesi ni mwanzo mzuri Wa kudai katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.
Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Ok, tumekuelewa kuwa Tanzania kuna haki ikiwa tu inaongozwa na TL, sawaHii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!
Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:
All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Dunia vituko haviishi, hivi kuna kenge bado wanaamini kuwa lissu angekuwa rais!!??
Wameanzankijivua gamba.Tayari wamehukumu kunyonga waliomuuwa Kamanda mowazo!!Ngoja zianze! Ila msijekuwa kama fisi asubiriae mkono wa binadamu kudondoka! Ahahahahahahah!