Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Kwa Nini Tundu Lissu tu? Hivi ICC ipo ili TL see Rais wa Tanzania?
RA na TL wanafeli sana hapa.
Kama lengo ni democracy Basi wananchi ndio wataamua Nani awe Rais wao sio shinikizo kuwa lazima awe TL
Wananchi gani unaowazungumzia si walishaamuwa mkawanyan'ganya
[/QUOTE]
Tulizeni mshono dawa iwaingie vzr.... Mtajuuta kuharibu demokrasia na uchaguzi huku mnalazimisha watu wahuni wasiotakiwa na watz wawe viongozi
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Hata Bush na askari wa USA walishtakiwa lakini sisiki chochote kikiendelea au Rotterdam ni kwa africa tu
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
ICTR).[2]

On 2 September 2020, Bensouda was named a "specially designated national" by the United States government, which forbids all U.S. persons and companies from doing business with her.[3]

According to an Associated Press report on 6 November 2015, Bensouda was advised that war crimes may have been committed on the Mavi Marmara ship in 2010, where eight Turks and one Turkish-American were killed and several other activists were wounded by Israeli commandos, but she ruled the case was not serious enough to merit an International Criminal Court probe.[10]

In November 2017, Bensouda advised the court to consider seeking charges for human rights abuses committed during the War in Afghanistan such as alleged rapes and tortures by the United States Armed Forces and the Central Intelligence Agency, crime against humanity committed by the Taliban, and war crimes committed by the Afghan National Security Forces.[11] John Bolton, National Security Advisor of the United States, stated that ICC Court had no jurisdiction over the US, which did not ratify the Rome Statute

ControversiesEdit

In October 2017, Bensouda and two members of her staff were accused by Der Spiegel of staying in touch with her predecessor, questioning the Prosecutor's own integrity when Bensouda sent confidential information to Ocampo. It was also suggested that Bensouda sought the advice of her predecessor on several occasions and perhaps allowed herself to be influenced by him, specifically in Kenya and Yazidi cases.[20]

The US State Department revoked Bensouda's visa in early April 2019.[21][22] The Guardian reported that the visa withdrawal seemed to be the fulfillment of a threat from Secretary of State Mike Pompeo to prevent ICC personnel from investigating whether US servicemen or US officials engaged in war crimes in Afghanistan, Poland, Romania and Lithuania.[23][24][25] The visa revocation triggered criticism from United Nations officials.[26]

In June 2020, US President Donald Trump issued an executive order which allowed the United States to block the assets of ICC employees and prevent them from entering the country. In September 2020, US Secretary of State Mike Pompeo said Bensouda and another senior ICC official, Phakiso Mochochoko, would be sanctioned under this order and those who "materially support those individuals risk exposure to sanctions as well". Balkees Jarrah, senior counsel at Human Rights Watch, tweeted that the move was a "stunning perversion of US sanctions, devised to penalize rights abusers and kleptocrats, to target those prosecuting war crimes".[27]
 
Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:

Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and our team for their excellent work. We filed today at the ICC!! More to come!!

Nyingine ni hii ikihusiana na hiyo ya hapo juu:

All of our work on Tanzania is dedicated to the incredible heroism of Tundu Lissu!! His is an example for the ages! When Tanzania is free it shall have TL as its rightful leader!
Huyu jamaa ni zaidi ya comedy

He cares sio?
 
Vp kuhusu zile za mauaji ya Akwilina Akwilin zilizofanywa na Polisi kisha kesi kupewa wengine, kwako ni kujenga Nchi siyo??
Lile ni jambo Baya

Lakini he solution ni ipi?
 
Acha uongo Kama hujui uliza, Uhuru Kenyatta na Luto walihudhuria mahakamani ICCMpaka wakashinda kesi kwa kukosa ushahidi, upo??
Hawakushinda kesi bali waligoma kuendelea kuhudhulia kwenye hiyo kesi na nchi yao ikaanzisha mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama.
 
Wananchi gani unaowazungumzia si walishaamuwa mkawanyan'ganya
Tulizeni mshono dawa iwaingie vzr.... Mtajuuta kuharibu demokrasia na uchaguzi huku mnalazimisha watu wahuni wasiotakiwa na watz wawe viongozi[/QUOTE]Nisome vizuri. Sijasema nani kanyang'anywa Nini. Issue ni Haki na democracy. Huyo TL hataingia ikulu bila uchguzi. Je Hashim Rungwe au Mbatia akishinda? Kwa Nini aseme kuwa TL ndo awe rightful leader? Why not others?
 
Amstadam anateseka sana. Mwambie huku sisi hatuna habareeeeee..... Joni is humble, we lavu Joni, he is our chosen one.
View attachment 1658919
Tumejipumzisha kivulini tunasherekea Noeli

Tatizo liko kwenye hiyo "sisi." Hapo ndipo tunapoachana njia panda.

Hata waliouliwa ndugu zao wako kivulini wanajipongeza na Noeli?

Je waliojeruhiwa na mamlaka hii au kupotezwa?

Pana taabu na hiyo "sisi" au nasema uongo ndugu yangu?
 
Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Unamaanisha kesi huwa zinayeyuka
 
Kwenye hiyo "sisi" wewe utakua haupo, ila sisi tumeshaingia na mkataba

Mimi umeniongelea hapo nimekuelewa. Je hawa nao?

"Hata waliouliwa ndugu zao wako kivulini wanajipongeza na Noeli?

Je waliojeruhiwa na mamlaka hii au kupotezwa?"

Nakazia!
 
Mmebaki na utopolo tu hakuna sera tena.

Watu wameuliwa ndugu zao, wamejeruhiwa, wamepotezwa unaita utopolo?

Utakuwa jinga tu wala hufuzu hata kuitwa jitu lisilojulikana.

Nyambafu!
 
Wewe ulisikia wapi mwanaume mwenye mji wake anakwenda kumpangia jirani yake vile anatakiwa kuishi na familia yake
Huyu amstadam boya sana

Yanini kuandikia mate? Wino si upo?

Subiri dada. Mwenzio pilau haikuanguka leo.
 
Mimi umeniongelea hapo nimekuelewa. Je hawa nao?

"Hata waliouliwa ndugu zao wako kivulini wanajipongeza na Noeli?

Je waliojeruhiwa na mamlaka hii au kupotezwa?"

Nakazia!
Waliouliwa ndugu zao kule tunduma na njombe wako kimya wakifuatilia kesi kwenye vyombo husika. Wewe unawaongelea wepi
 
Back
Top Bottom