Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Mungu wabariki Wazungu
 
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.

Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Vp kuhusu zile za mauaji ya Akwilina Akwilin zilizofanywa na Polisi kisha kesi kupewa wengine, kwako ni kujenga Nchi siyo??
 
Hii ni mara ya ngapi sasa ana file? Maana alishasema siku nyingi tu kuwa alisha file ICC. Hata Fatuma Karume alishasema ame file. Maria Sarungi naye kisha file. Waendelee ku file. Sisi ni sovereign country, haiwezi kushitakiwa na vigaragosi vya aina ya Fatuma Karume na vishoga vya aina ya Amsterdam na huyo mkimbizi. Amerika, China na nchi nyingi tu za ulaya si wanachama wa hiyo ICC. Sisi tuko huko at our plessure only, wakati wo wote tukipenda tunajitoa kama Kenya ilivyofanya walipoleta vigisu vigisu kumhusu rais wao Uhuru Kenyata.
 
Vp mamdogo mbna unarukaruka hueleweki unataka nn???umekuwa zumbukuku waaheed
Mtume mkeo aje anitembelee kisha uone atakavyokuwa anatabasamu kila atakavyokuwa anakusimulia kuhusu "mambo ya Mamdogo"! Tena na Sikukuu hii! Ahahahahahaha!!!
 
Mbona kila bizaa imepanda bei hasa maji ya kunywa , mafuta ya kula, nini kimetokea.
 
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.

Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Zanzimana Jiwe hata umpe miaka Mia Hana chochote anachoweza kufanya zaidi kuumiza , kuharibu ,kudhuru ,fukuza, tengua, teua , lakini maendeleo ni ziro .
 
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.

Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Ukweli uliopo ni ccm kuiba kura
 
Utaendelea kushabikia UPUUZI badala ya kuungana na WaTz wenzako kuijenga nchi hata katika mazingira yasiyokufurahisha.

Hizo kesi hazina kichwa wala miguu zaidi kudanganya nafsi zenu ambazo zinajua ukweli.
Hizo kesi ni mwanzo mzuri Wa kudai katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Huyo jamaa amekula pesa za CHADEMA mabilioni kwa mabilioni matokeo yake chama kikakosa hadi pesa ya kuchapisha mabango ya mgombea wao .

Bado hawaachi ,sasa kaja na hizi porojo za ICC atakula pesa hadi mkose pesa za kampeni za 2025
 
Ok, tumekuelewa kuwa Tanzania kuna haki ikiwa tu inaongozwa na TL, sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…