Robert Heriel ameishiwa mawazo. Mufilisi kabisa. Siasa huziwezi

Mimi ni mzee wa facts, nishasema kesho kutwa tar 29 mwezi huu wa 10 TUNATIKI βœ… Kwa Daktari Samia Suluhu Hassan, kwa wabunge na madiwani wote wa CCM.
Huu ndiyo ukweli wenyewe subirini muone πŸ”₯
Ticha umekaa ktapeli Sana.
Kumbe binadamu kujinafkia na kujiigizia inawezekana ?
 
Ticha umekaa ktapeli Sana.
Kumbe binadamu kujinafkia na kujiigizia inawezekana ?
Nasema ukweli Wala sjakaa kinafiki huu ndo ukweli wenyewe... kesho kutwa tunaenda kumpigia KURA Daktar Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…