mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Hali gani?
Sifahamu Watibeli mnasalimiana vipi, hivyo naomba nitumie salamu ya kawaida ya kitanzania. Habari!
Nimeshawishika kuja na swali kufuatia vita na migogoro inayoendelea kati ya Israel na Iran.
Kwa kawaida, Wakristo wengi wapo upande wa Israel, na Waislam wengi wapo upande wa Iran.
Sasa, kufuatia kifo cha Haniyeh pamoja na Raisi, nilitegemea ungetoa tamko lolote Mtibeli, ukizingatia ni wazi kabisa kuwa wewe ni Mkristo na moja kwa moja upo upande wa Israel.
Niende kwenye swali sasa:
Kwa nini hukuandika uzi au mchango wowote kwenye nyuzi yoyote, wa kufurahishwa na vifo vya hawa watu wawili, yaani Raisi na Haniyeh? Je, wewe si Mkristo?
Humu ndani wengi wa Wakristo walifurahishwa sana, wakiipongeza Israel kwa sifa tele. Kulikoni wewe?
Haya, niachie ujumbe hapo mlangoni. Nilikuwepo.
Robert Heriel Mtibeli