Haya sasa wamerusha taulo wenyewe na hiyo bila shaka ni baada ya kuona wasingeweza kustahimili mapigo ya upande wa utetezi kwenye kesi feki.
Halafu huyo jamaa unayemfagilia hana lolote baada ya kukubali kuwa mwendesha mashtaka kwenye kesi feki ambayo wameamua kuifuta wenyewe kwa aibu.
Kama hawa akina Kidando ndio candidates wa ujaji basi ndio maana judiciary ya Tanzania imekufa jumla. Bure kabisa.