Only if you make that theory practicallyNmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
... Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
Anamaanisha ujiajiri kupitia kipaji au taaluma yako kama wewe in engineer fungua biashara yako eg saichiro HondaSasa mkubwa, kama hao sio kitu utakapougua, utakapotaka kujenga, utakapohitaji burudani utapata wapi endapo hao wote sio kitu?
Mie niliambiwa kuheshimu kanuni za fedha, weka akiba, jiufunze kutuna na kutumia pesa yako vizuri, wekeza, ilinde pesa yako. Kisha tumia kipaji au kile unachopenda kukifanya kikuingizie pesa, iwe utabibu, uhandisi, kufundisha n.k
Hao waliowarithisha hao 98% wao pia walirithi kutoka kwa watu wengine? Kuna watu wameanzia zero kabisa mpaka kuufikia ubilionea98% ya matajiri wote duniani ni urithi,2% ni cretivity (Kipaji) kama wagunduzi wa fb n.k!
ni kweli wapo walio anzia zero! unaweza jiuliza kwa nini sasa hv wanaoanzia zero wawe wachache sana jibu ni kuwa mazingira ya kipindi hicho cha zamani yaliwawezesha kufanya hivyo tofauti na karne za 19,20, na 21Hao waliowarithisha hao 98% wao pia walirithi kutoka kwa watu wengine? Kuna watu wameanzia zero kabisa mpaka kuufikia ubilionea
utajiri maana yake ni Muda ndio maana hamna tajiri aliyeajiriwa na uwezi fanya vitu viwili vyote kwa wakati mmoja hukutakuwa na ufanisi hata siku 1 kiufupi huwezi kuwa wa moto na ubaridi kwa wakati 1Uzuri Robert Kiyosaki haadvocate watu waache kazi zao. Unaweza kuwa umeajiriwa lakini na wewe pia uka"mind your own business", yaani ukawa na shughuli yako ya pembeni inayokuingizia pesa. Taabu sasa ni pale ambapo mwajiri wako hakupi nafasi ya kumind your business (working 7.30am to 5pm, 6 days a week etc) na ndio maana anasema ni ngumu kutoboa ukiendelea kung'ang'ania kuajiriwa tu.
Anamaanisha ujiajiri kupitia kipaji au taaluma yako kama wewe in engineer fungua biashara yako eg saichiro Honda
Poa nimekupata sasaHicho ndio nilichomaanisha kwenye post yangu, nilikua napingana na hoja ya kuzarau tasnia au fani zingine kama mleta mada alivyoleta mkuu. Soma vizuri post yake ya mwanzo, anasisitiza kuajiri wengine na pesa ikutumikie.
Kusoma kwenye pdf hainogi tafuta kitabuMwenye PDF ya hicho kitabu msaada tafadhali
Yeye mwenyewe pamoja na kuandika vitabu vyote lakini sio bilioneaNmesoma rich dad poor dad na cashflow quadrant. Huyu jamaa hataree. Shida ni kwenye kupata mtaji Wa mwanzo ili kuapply knowledge kuwa billionea. Anafundisha kuajiri na Sio kujiajiri au kuajiriwa. Kumbe kujiajiri Sio utajiri. Kuwafanya watu na pesa wakufanyie kazi ndio utajiri. Aiseee kumbe kuwa daktari, engineer, pilot, mchezaji Sio kitu.
Tafuta thread moja yenye kichwa kama "kitabu kilichobadirisha maisha yako" kama sijakosea. Utakipata pamoja na vingine vingi vizuri. Ningekuwekea kama ningekuwa nacho kwenye simu. Unaweza kugoogle pia.Mwenye PDF ya hicho kitabu msaada tafadhali