Robertinho alipendekeza Aziz Ki ang'olewe Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuna siri moja Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaachia Simba.

Kwenye ripoti yake aliyoacha amemwambia Mohammed Dewji ‘Mo’ amng’oe Aziz Ki pale Yanga.

Amekiri kumwambia mchezaji huyo ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Yanga ni mashine na kila alipokuwa akikutana nae alikuwa roho mkononi.

“Nilimpendekeza Aziz kwa kuwa tayari yuko Tanzania ameshaanza kuzoea mazingira mazuri ni tofauti na mchezaji mpya anayefika kuja kuanza kuzoea mazingira ya hapo,” amefunguka kocha huyo.

Robertinho amesema kama angeambiwa staa mmoja wa haraka kumchukua ndani ya kikosi cha mabingwa hao basi angekuwa Aziz Ki pekee na kama kuna bahati kubwa kwa watani wao ni kuwa na mchezaji bora kama raia huyo wa Burkina Faso.

Source. Mwanasports
1700132056965.jpg
 
Huo ni ukweli, hakuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa ktk timu yetu kumzidi Aziz Ki. Huyu jamaa ni kipaji halisi, mpira unamtii yeye anakotaka uende na kufika.
Ubao wa matokeo kiasi kikubwa anaamua yeye usomeke vipi!

Sikulia alipoondoka Mayele, ila Ki lazima chozi linitoke akituaga.
Mi shabiki yake mkubwa.
 
Source. MwanasportsView attachment 2815445
Mkuu naomba unapoleta taarifa zako sahizi ambatanisha na ushahidi wa video, maana we umekuwa ukizusha tu propaganda, vinginevyo tutakuweka lupaso JF sports kama popoma
 
Ila Mayele na Aziz K ni wachezaji haswa, kinidhamu na uwezo,hawanaga fujo kama Messi wanaonyesha tu uwezo wao
 
Kuna siri moja Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaachia Simba.

Kwenye ripoti yake aliyoacha amemwambia Mohammed Dewji ‘Mo’ amng’oe Aziz Ki pale Yanga.

Amekiri kumwambia mchezaji huyo ambaye mkataba wake unaelekea ukingoni Yanga ni mashine na kila alipokuwa akikutana nae alikuwa roho mkononi.

“Nilimpendekeza Aziz kwa kuwa tayari yuko Tanzania ameshaanza kuzoea mazingira mazuri ni tofauti na mchezaji mpya anayefika kuja kuanza kuzoea mazingira ya hapo,” amefunguka kocha huyo.

Robertinho amesema kama angeambiwa staa mmoja wa haraka kumchukua ndani ya kikosi cha mabingwa hao basi angekuwa Aziz Ki pekee na kama kuna bahati kubwa kwa watani wao ni kuwa na mchezaji bora kama raia huyo wa Burkina Faso.

Source. MwanasportsView attachment 2815445
.
FB_IMG_1700042241994.jpg
 
Huo ni ukweli, hakuna mchezaji mwenye kiwango kikubwa ktk timu yetu kumzidi Aziz Ki. Huyu jamaa ni kipaji halisi, mpira unamtii yeye anakotaka uende na kufika.
Ubao wa matokeo kiasi kikubwa anaamua yeye usomeke vipi!

Sikulia alipoondoka Mayele, ila Ki lazima chozi linitoke akituaga.
Mi shabiki yake mkubwa.
Vipi wakisema tubadilishane na Chama??
 
Mkuu naomba unapoleta taarifa zako sahizi ambatanisha na ushahidi wa video, maana we umekuwa ukizusha tu propaganda, vinginevyo tutakuweka lupaso JF sports kama popoma
Tafuta gazeti la mwanasport......
 
Back
Top Bottom