Robertinho anapewa sifa za kijinga tu pale Simba lakini kuna siku tutalia mchana kweupee

Kabisaa
 
Wewe ndio mbumbumbu haswa tena usie na aibu kabisa.
 
Ulisema kweli isiyo na chenga kudos buddy πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kabla ya mechi nlimuambia mshikaji wangu leo tunafungwa sio chini ya goli mbili akabisha , akinambia Simba hatuwezi fungwa baada ya mechi sasa Hahaha. Watu tunaendekeza sana ushabiki ukweli mchungu hatutaki tunapenda kubembelezana hata kwenye hamna. Tangu Mechi za ngao ya Jamii, CAFCL Qualification, na Premier league timu inahangaika kupata ushindi lakn watu wanajitoa fahamu wanasifia kocha. Baada ya kuona mpira unaochezwa hauvutii wakaja na msemo eti pira Objective. I hope tumejifunza kwa kipigo hiki, na Simba inahitajika Reform ya maana pale hadi uongozini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…