Kabla ya mechi nlimuambia mshikaji wangu leo tunafungwa sio chini ya goli mbili akabisha , akinambia Simba hatuwezi fungwa baada ya mechi sasa Hahaha. Watu tunaendekeza sana ushabiki ukweli mchungu hatutaki tunapenda kubembelezana hata kwenye hamna. Tangu Mechi za ngao ya Jamii, CAFCL Qualification, na Premier league timu inahangaika kupata ushindi lakn watu wanajitoa fahamu wanasifia kocha. Baada ya kuona mpira unaochezwa hauvutii wakaja na msemo eti pira Objective. I hope tumejifunza kwa kipigo hiki, na Simba inahitajika Reform ya maana pale hadi uongozini.