Robertinho anapewa sifa za kijinga tu pale Simba lakini kuna siku tutalia mchana kweupee

Robertinho anapewa sifa za kijinga tu pale Simba lakini kuna siku tutalia mchana kweupee

Wewe bila shaka ni chura wa jangwani. Liko wapi kombe la ubora wa mpira?. Soka ni ushindi, ukishinda umeshinda. Hakuna oooh! Imeupiga mwingi kama hujapata point.

Ndomaana Yanga baada ya Kichapo cha Ihefu, wametamani objective football ya Robertinyo na sio Samba Roketo
Kabisaa
 
Wewe ndio mbumbumbu haswa tena usie na aibu kabisa.
 
Kabla ya mechi nlimuambia mshikaji wangu leo tunafungwa sio chini ya goli mbili akabisha , akinambia Simba hatuwezi fungwa baada ya mechi sasa Hahaha. Watu tunaendekeza sana ushabiki ukweli mchungu hatutaki tunapenda kubembelezana hata kwenye hamna. Tangu Mechi za ngao ya Jamii, CAFCL Qualification, na Premier league timu inahangaika kupata ushindi lakn watu wanajitoa fahamu wanasifia kocha. Baada ya kuona mpira unaochezwa hauvutii wakaja na msemo eti pira Objective. I hope tumejifunza kwa kipigo hiki, na Simba inahitajika Reform ya maana pale hadi uongozini.
 
Back
Top Bottom