Dingi Robert ana kinyongo, bado aliutaka mpunga wa kolowizard. Hawa ndo wanaoichawia Simba hadi iokolewe na refa kwa red card au penati.
Yule mpemba wa ihefu aliniudhi sana hajifunzi jinsi Mwamnyeto anakaba ndani ya penati box bila madhara ni soft push tu eti mpemba alijisahaulisha kuwa simba ni kibonde na inabebwa na marefa wa bongo basi mpemba akacheza rafu ya kipumbavu ndani ya penati box maana Simba mpira ulishawashinda wakaanza kutafuta penati kwa nguvu, mpemba akaweka mguu kijinga, Kibu D akajiangusha fasta kama gunia basi refa aliruka fasta kama mshale na kuweka mkwaju wa penati , refa ni kama alikuwa anasubiri hiyo chance kuikoa kolowizard, timu ya mapenzi yake. Halafu yule sijui ndo Rupia namba tisa wa ihefu aliniboa sana hakuwa akikaba Jana, Mexime alimchelewesha sana kumtoa nje, jana alikuwa mzigo kwa timu , hakabi, ajifunze spirit ya Mzize kukaba kwa nguvu na kusaidia timu .