Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

ROBERTINHO ANA ENJOY TU..!!

Kufuatia draw walioipata Simba dhidi ya ihefu Jana robertinho aliyekuwa head coach wa 5imba amepost picha yake ikisindikizwa na Yanga anthem ( watoto wa jangwani

Kupitia Insta story ya aliekua kocha wa Simba Rebertinho ame post picha ilio ambatana na ngoma ya Yanga, hii nibaada tuu ya mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba.
Enjoy Mr Objective @robertinho7.coach

Je hii kitaalamu inamaanisha Nini ...Kwamba Mzee robertinho ana enjoy na soka la Simba?View attachment 2962882
kumbe simba walikuwa na haki ya kumfukuza
 
Ikiwa hicho ndio kinampa furaha na ndio furaha yake acha afurahi.

Kila mtu na afurahi na kinachomfurahisha
 
Dingi Robert ana kinyongo, bado aliutaka mpunga wa kolowizard. Hawa ndo wanaoichawia Simba hadi iokolewe na refa kwa red card au penati.

Yule mpemba wa ihefu aliniudhi sana hajifunzi jinsi Mwamnyeto anakaba ndani ya penati box bila madhara ni soft push tu eti mpemba alijisahaulisha kuwa simba ni kibonde na inabebwa na marefa wa bongo basi mpemba akacheza rafu ya kipumbavu ndani ya penati box maana Simba mpira ulishawashinda wakaanza kutafuta penati kwa nguvu, mpemba akaweka mguu kijinga, Kibu D akajiangusha fasta kama gunia basi refa aliruka fasta kama mshale na kuweka mkwaju wa penati , refa ni kama alikuwa anasubiri hiyo chance kuikoa kolowizard, timu ya mapenzi yake. Halafu yule sijui ndo Rupia namba tisa wa ihefu aliniboa sana hakuwa akikaba Jana, Mexime alimchelewesha sana kumtoa nje, jana alikuwa mzigo kwa timu , hakabi, ajifunze spirit ya Mzize kukaba kwa nguvu na kusaidia timu .
Tuache utani....Simba wamefungwa goli la dharau [emoji23]
 
Hata kama siwapendi makolo ila ile ilikua clear penalty, tuache kuangalia mpira kwa hisia
 
Alifukuzwa after game ya yanga so he expects the same kwa kocha aliopo km wakifungwa in nutshell anawakumbusha kua game inayofuata ni ya yanga be standby
Kumbe anaheshimu ukubwa wa yanga
 
Back
Top Bottom