bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,100
- 2,491
Shida mnahema Kwa Sauti mpaka tunaona mnyohema Kwa shidaa 😂Mbona hamtuachi mashabiki wa Simba tuheme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida mnahema Kwa Sauti mpaka tunaona mnyohema Kwa shidaa 😂Mbona hamtuachi mashabiki wa Simba tuheme?
Mzee walimuonea bureROBERTINHO ANA ENJOY TU!
Kufuatia draw walioipata Simba dhidi ya ihefu Jana robertinho aliyekuwa head coach wa 5imba amepost picha yake ikisindikizwa na Yanga anthem (Watoto wa Jangwani)
Kupitia Insta story ya aliekua kocha wa Simba Rebertinho ame post picha ilio ambatana na ngoma ya Yanga, hii nibaada tuu ya mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba.
Enjoy Mr Objective Robertinho
Je, hii kitaalamu inamaanisha nini? Kwamba Mzee robertinho ana enjoy na soka la Simba?
😀😃😄😁😆Hicho kibabu kinazeeka vibaya...kikubali kuachika..