Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

ROBERTINHO ANA ENJOY TU!

Kufuatia draw walioipata Simba dhidi ya ihefu Jana robertinho aliyekuwa head coach wa 5imba amepost picha yake ikisindikizwa na Yanga anthem (Watoto wa Jangwani)

Kupitia Insta story ya aliekua kocha wa Simba Rebertinho ame post picha ilio ambatana na ngoma ya Yanga, hii nibaada tuu ya mfululizo wa matokeo mabaya ya Simba.

Enjoy Mr Objective Robertinho

Je, hii kitaalamu inamaanisha nini? Kwamba Mzee robertinho ana enjoy na soka la Simba?
Mzee walimuonea bure
 
Back
Top Bottom