Robertinho hamtaki Ngoma

Robertinho hamtaki Ngoma

Kifupi pale hakuna kocha
Mkuu, ingawa mm sio mtaalam wa mpira ila kocha wasimba ni mzuri sana.maana anauwezo wa kupambana na yanga uso kwa uso na yanga akaona aibu.
Ila kutakua na shida kwenye uongozi wa simba.itakua kuna watu wanamtegesheategeshea mbele ili ajikwae.
 
"ROBERTINHO HAMTAKI NGOMA "

Inaelezwa kwamba Robertinho hafurahii kumtumia Fabrice Ngoma kwenye eneo la kiungo Mkabaji kwasababu sio eneo lake asilia na yeye anataka kiungo mkabaji asilia hivyo amewaambia viongozi wake kama inawezekana wamuuze atafutiwe kiungo mkabaji asilia

Hii ni kwasababu anasema kiufundi hakuna tofauti katia Ngoma na Mzamiru Yassin na Wakati anawaambia viongozi wake kwamba anataka kiungo alikuwa anataka kiungo mkabaji asilia sio Box to box.

Habari hii ni kwa Mujibu wa mtu wa karibu sana na bench la ufundi la Simba
Simba impe huyo chiba mkono wa kwa heri, akafie mbele. Kocha mwenye uefa pro max anashindwaje kumtumia Ngoma? Timu apewe gadiola mnene.
 
PUNGUZA UONGO MKUU SISI NI WATU WAZIMA.

YUNA HADI CLIPS ZA ROBERTINHO AKIFURAHIA UWEPO WA NGOMA.
 
Back
Top Bottom