OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kiwanda cha uongo kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MsalimieAmerudi ndio
Mkuu, ingawa mm sio mtaalam wa mpira ila kocha wasimba ni mzuri sana.maana anauwezo wa kupambana na yanga uso kwa uso na yanga akaona aibu.Kifupi pale hakuna kocha
Simba impe huyo chiba mkono wa kwa heri, akafie mbele. Kocha mwenye uefa pro max anashindwaje kumtumia Ngoma? Timu apewe gadiola mnene."ROBERTINHO HAMTAKI NGOMA "
Inaelezwa kwamba Robertinho hafurahii kumtumia Fabrice Ngoma kwenye eneo la kiungo Mkabaji kwasababu sio eneo lake asilia na yeye anataka kiungo mkabaji asilia hivyo amewaambia viongozi wake kama inawezekana wamuuze atafutiwe kiungo mkabaji asilia
Hii ni kwasababu anasema kiufundi hakuna tofauti katia Ngoma na Mzamiru Yassin na Wakati anawaambia viongozi wake kwamba anataka kiungo alikuwa anataka kiungo mkabaji asilia sio Box to box.
Habari hii ni kwa Mujibu wa mtu wa karibu sana na bench la ufundi la Simba