Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.
Aisee mbona unapingana na mapendekezo ya mwalimu?Unatakiwa usajili wa WACHEZAJI SABA WA KIGENI.
Golikipa 1
Akina Milton kalisa.
Mshambuliaji wa HOROYA....
Mabeki wawili wa kati au mmoja..
Viungo wawili 6,8.