Robertinho: Nunueni wachezaji watano tu wanatosha

Robertinho: Nunueni wachezaji watano tu wanatosha

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.

464789A6-9BDE-4337-BA0A-F6F808E7C8B4.jpeg
 
Tatizo boss tapeli hadii aokoteze wachezaji wa mikopo mixer na waliotemwa na team zao ndio awachukue
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIA ACHENI KULETA WACHEZAJI MIZIGO. TIMU INATAKIWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
Unatakiwa usajili wa WACHEZAJI SABA WA KIGENI.

Golikipa 1
Akina Milton kalisa.
Mshambuliaji wa HOROYA....
Mabeki wawili wa kati au mmoja..
Viungo wawili 6,8.
 
Acheni kwanza bilioni 20 tukaagizie boxer bm india ikizalisha chenji tutasajili
 
Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.

Ana uhakika na hiyo research yake? Sio wanunuliwe afu ayakoroge hata la mapinduzi ashindwe kuchukua
 
Unatakiwa usajili wa WACHEZAJI SABA WA KIGENI.

Golikipa 1
Akina Milton kalisa.
Mshambuliaji wa HOROYA....
Mabeki wawili wa kati au mmoja..
Viungo wawili 6,8.
Aisee mbona unapingana na mapendekezo ya mwalimu?
 
Back
Top Bottom