Robertinho: Simba iliyopigwa 5 na Yanga Haina tofauti na hii ya sasa

Robertinho: Simba iliyopigwa 5 na Yanga Haina tofauti na hii ya sasa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
ROBERTINHO: 5IMBA ILIYOPIGWA 5 NA YANGA HAINA TOFAUTI NA HII.

"Sielewi kilichofanya wakanifukuza sababu Kila nikitazama 5imba wanacheza vile vile hakuna kilichoongezeka"
"....kama walishinda 6_0 dhidi ya galaxy... Mimi mbina nilishinda 7...0 dhidi ya horoya???"
Aliyekuwa head coach wa 5imba

#FutbalPlanetUpdates
1713190127473.jpg
 
Nimeshamzarau huyu,alitegemea atafanya kazi msimbazi maisha yake yote kama alipewa stahiki zake si apige kimya mdomo wa nini..
Sisi tunampenda na kumshangilia na viongozi wa Yanga watamtumia ticket pamoja na kumlipia malazi na ticket ya uwanjani siku ya Derby aje ashuhudie mkono wa Nyani mwingine. Masandawane a.k.a Mayele FC oyeeeeeee
 
Back
Top Bottom