Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Robertinho anasema tangu amefukuzwa Simba hakuna mabadiliko yoyote kiuchezaji.
 

Attachments

  • FB_IMG_17101589980952793.jpg
    FB_IMG_17101589980952793.jpg
    310.1 KB · Views: 3
Simba wachezaji wengi ni over 35 kwa umri wa ukweli sasa mnategemea nini hata wakimleta Guardiola ni kazi bure tu.
 
Ndo maana vi uzi vyenu vya kuhusu Simba vina wachangiaji kumi au 20..maana tumeshawachoka kwa sasa tunawaangalia tuu... na wenye akili utopoloni pia wanawaangalia tuu...
Sababu kubwa ni hii
 

Attachments

  • 20240303_010520.jpg
    20240303_010520.jpg
    151.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom