Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hata mm naona una akili za kiben ten ben ten 😂Mimi ni kibenten,labda msimu uishe ndio nitazichoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm naona una akili za kiben ten ben ten 😂Mimi ni kibenten,labda msimu uishe ndio nitazichoka.
Achana nacho mkuu alipofika darasa la tatu ada ikazingua akarudi zake kayumba ila kafanya poa sana katumia ada ya madarasa mawili kikamilifu.Hiki Kiingereza kina shida, head kwenda kwenye vidole ni up au down?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hii ni comment ya ngapi kaka.Ndo maana vi uzi vyenu vya kuhusu Simba vina wachangiaji kumi au 20..maana tumeshawachoka kwa sasa tunawaangalia tuu... na wenye akili utopoloni pia wanawaangalia tuu...
Ya 200 dada..Hii ni comment ya ngapi kaka.